HABARI WANA JF,
KWANZA NAPENDA KUMSHUKURU MWENYEZI MUNGU KWA KUNIPATIA KAZI MWAKA HUU WA 2014, PILI NATOA SHUKRANI ZANGU ZA DHATI KWA JUKWAA HILI KWA KUNIPATIA UPDATES ZOTE KWA MIAKA MIWILI NILIYOKUA KWENYE MSOTO MKALI WA KUTAFUTA KAZI.
AMINI USIAMINI MWENYEZI MUNGU NDIO MUWEZA WA YOTE, NDIO MJOMBA WA WALE WASIO NA WAJOMBA WA KUWAPACHIKA MAOFISINI, NDIO MWENYE CHEO KUPITA VYEO VYOTE VYA HAO WANAOWAPACHIKA WATOTO WAO MAOFISINI WAKIWAACHA WATOTO WA WAKULIMA WAKIENDELEA KUANGAIKA.WEWE MTOTO WA MKULIMA KAMA MIMI, UKIMTEGEMEA MUNGU na KUZIDISHA JITIHADA BASI UMEPONA.
TURUDI KATIKA MADA
NIMEANGAIKA KWA MUDA WA MIAKA MIWILI NIKIFANYA INTERVIEW HAPA NA PALE HATIMAYE MWAKA HUU MUNGU AKAFUNGUA MILANGO YA AJIRA KWANGU. ILIKUWA NI MWEZI WA SABA MWAKA HUU NDIPO NILIPOITWA KAZINI HALMASHAURI FULANI HAPA NCHINI, MPAKA KUFIKIA SASA NINA WIKI TATU KAZINI.
TATIZO LINAKUJA KUWA NILIKUWA NIMESHAFANYA INTERVIEW KWENYE TAASISI YA SERIKARI MOJAWAPO HAPA NCHINI JANA NIKAPIGIWA SIMU NIRIPOTI KAZINI, NIKIFIKIRIA HUKU NACHUKUA TGS D AMBAYO TAKE HOME NI CHINI YA LAKI 4, NA HUKO NILIKOITWA UHAKIKA WA TAKE HOME YA LAKI 7 NA NUSU NINAO.
SWALI LINAKUJA : naagaje huku niliko? na je inaruhusiwa kutoka serikarini kwenda serikarini kwa nafasi ya entry level kama yangu?
nisaidieni nifanye maamuzi sahihi jamani, hasa wenye experience na suala kama hili
nimeitwa kwa nafasi ya muhasibu daraja la pili, na huku halimashauri nipo kwa nafasi hiyo hiyoWeka aina ya kazi zote ulizoitiwa, ya sasa na uliyoitiwa, then one will be in a position to advise wisely.
nashukuru sana kwa ushauri wako. japo hizo taratibu ndo sizijui sasa. naogopa hata kuuliza kwa wafanyakazi wenzangu hapa kwa sababu sijawajua kiundani wasije wakaja kua vikwazo. ndio maana nikaleta mada humu. naombeni mnisaidie huo utaratibuVuta subra watakuja
wazoefu kakini usisahau kufuata taratibu ambazo kimsingi ndio hua zinamfanya MTU arudishwe kazini kama aliko enda kumebuma. Wakumbuke wasio jiweza kama sadaka kwa MUNGU WETU.
nashukuru sana kwa ushauri wako. japo hizo taratibu ndo sizijui sasa. naogopa hata kuuliza kwa wafanyakazi wenzangu hapa kwa sababu sijawajua kiundani wasije wakaja kua vikwazo. ndio maana nikaleta mada humu. naombeni mnisaidie huo utaratibu
asante mkuu, na mimi najuaga hivyo lakini kuna wadau wananitisha wanadai serikari ni serikari tu kama nikienda huko sitapata mshaharashirika la uma haliingiliani na tanisemi..
ndio maana hata mishahara yao hailipwi na hazina. ndio maana wana scale zao tofauti.
sina imani kwamba wafanyakazi wa tanesco, tra, nssf, tpa nao wapo kwenye payroll za hazina.
dogo kama no shirika la uma nenda karipoti kisha omba udhuru wowote hata wa kufiwa ( ua mtu yoyote ambae ameshafariki) au jifanye mgonjwa then fanya uchaguzi sahihi..
mkuu acha uchoyo weka humu wote tufaidikeNitafute kweny no 0713836878ntakupa ushaur vzr ata mim nafanya kaz kweny shirika la serikali kuna watu wanahamia toka tamisemi na check namba zao zile zile.
shirika la uma haliingiliani na tanisemi..
ndio maana hata mishahara yao hailipwi na hazina. ndio maana wana scale zao tofauti.
sina imani kwamba wafanyakazi wa tanesco, tra, nssf, tpa nao wapo kwenye payroll za hazina.
dogo kama no shirika la uma nenda karipoti kisha omba udhuru wowote hata wa kufiwa ( ua mtu yoyote ambae ameshafariki) au jifanye mgonjwa then fanya uchaguzi sahihi..
asante mkuu, na mimi najuaga hivyo lakini kuna wadau wananitisha wanadai serikari ni serikari tu kama nikienda huko sitapata mshahara