Kuna njia nyingi nzuri na sahihi ambazo unaweza kuzitumia kwa mtu na kumfanya akueleze ukweli au ajifeel guilt kwa anachokufanyia kama ni kibaya lakini sio kutumia nguvu na ubabe .Na pia kila mtu ana uhuru na simu yake labda kuna makubaliano mmewekeana kuhusus simu. lakini kama sio noo mkuu kumpokonya simu sio suluhu