Naombeni ushauri


sasa mwanafyale nisipovumilia ntaacha wangap??
 
pole sana tangu mwanzo kulikuwa na vijialama kuwa huyo mtu ulienae si sahihi lakini ukapuuuza na kubeba mimba maji yameshamwagika achana nae lea mwanao huyo mchumba asikuyumbishe
 
pole sana aisee, huyo mwanaume amechanganyikiwa kaenda nje karudi hana lolote, halafu tangia mwanzo wewe unakuwa na mtu ana hasira kama kazaliwa wakati wa mlipuko wa bomu? na wewe nawe una moyo wa kupenda balaa hongera sana, ila sasa unapopenda hamna upendo, sifa za mume na mke mwema zipo kwenye biblia na upendo ni wa wote. kikubwa achana nae, na usije sema hapa kuwa ameomba msamaha umemrudia nakukimbiza.
 

Mabawe pole sana! Kiufupi huyo mwanaume hakutaki anachohitaji toka kwako ni kupunguza nye.. zake tu anapobanwa. Tena kwajinsi ulivyo mwelezea wasifu wake nahisi atakuwa mlevi wa kitu chochote ktk vilevi uvijuavyo. Pls heshm kz yk ulee mtt hana msada huyo!
 
Hako kajamaa kehu,sa skia mkate kidafu mwambie huyo mtoto si wake na asikusumbue eboh !
 
sasa mwanafyale nisipovumilia ntaacha wangap??
Kama uliyajua hayo humu jamvini ulifuata nini. Kumbe uwezo wa kuvumilia unao, endeleea kuvumilia huku ukisubiri kijani iwe nyekundu chini ya jua
 

asante nimekuelewa
 
ungekuwa mdogo wangu, ningekupa kelebu ( i am not a violent persona, ila The Boss alishasemaga kelebu sio kupigana).


:closed_2::closed_2:
 
mwanaume daima ana msimamo imara, ila matoto wa kiume hawana msimao...
yawezekana kalelewa na mzaz mmoja...
 
mmmm pole sana wanaume ndivyo tulivyo tulio wengi ila penye manyanyaso ndio anakosea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…