J JOPA Member Joined Feb 26, 2014 Posts 8 Reaction score 1 May 24, 2014 #1 mimi na mume wangu tunagombana sana sababu ya pesa na tuna mtoto kiasi kwamba tunataka kuachana naombeni ushauri jamani
mimi na mume wangu tunagombana sana sababu ya pesa na tuna mtoto kiasi kwamba tunataka kuachana naombeni ushauri jamani
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,704 Reaction score 48,140 May 24, 2014 #2 Mwenye pesa ni wewe au mumeo?
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,217 May 24, 2014 #3 Funguka zaidi
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,716 May 24, 2014 #4 sa kwa maelezo yako mtu anakushaurije
Kaunga JF-Expert Member Joined Nov 28, 2010 Posts 12,529 Reaction score 13,501 May 24, 2014 #5 Si muache kugombana, Uko wapi upendo wenu wa mwanzo? Pesa ndio ilikuwa sababu ya kuwa pamoja?
Zogwale JF-Expert Member Joined Jul 10, 2008 Posts 15,295 Reaction score 10,957 May 24, 2014 #6 JOPA said: mimi na mume wangu tunagombana sana sababu ya pesa na tuna mtoto kiasi kwamba tunataka kuachana naombeni ushauri jamani Click to expand... Ukitaka usaidiwe funguka zaidi tujue aina ya ugomvi i.e tabia zinazosababisha ugomvi.
JOPA said: mimi na mume wangu tunagombana sana sababu ya pesa na tuna mtoto kiasi kwamba tunataka kuachana naombeni ushauri jamani Click to expand... Ukitaka usaidiwe funguka zaidi tujue aina ya ugomvi i.e tabia zinazosababisha ugomvi.
L ligera JF-Expert Member Joined May 17, 2014 Posts 2,646 Reaction score 1,172 May 24, 2014 #7 hizo pesa anazo nani wewe au yeye?,na hizo pesa zinatumika vibaya ,au huyo mwanaume haachi pesa nyumbani,eleza vizuri husaidiwe
hizo pesa anazo nani wewe au yeye?,na hizo pesa zinatumika vibaya ,au huyo mwanaume haachi pesa nyumbani,eleza vizuri husaidiwe
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 May 24, 2014 #8 pesa gani hizo...
gfsonwin JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 18,272 Reaction score 20,714 May 24, 2014 #9 hizo pesa zinawafanyajje?? je kuna mfujaji kati yenu? je kwasababu ya pesa kiburi imeongezeka ama hamna pesa hivyo kuona maisha ni ya tabu?
hizo pesa zinawafanyajje?? je kuna mfujaji kati yenu? je kwasababu ya pesa kiburi imeongezeka ama hamna pesa hivyo kuona maisha ni ya tabu?
Mu-sir JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 3,621 Reaction score 1,640 May 24, 2014 #10 Haya maelezo hayajakamilika siwezi kushauri chochote hapa
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,568 May 24, 2014 #12 Pesa ilimkana Yesu sembuse nyie. Tenganeni tu Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
X Ximena JF-Expert Member Joined May 17, 2014 Posts 641 Reaction score 353 May 24, 2014 #13 huyu muomba ushauri kaishia wapi? au hiyo pesa ishampoteza?????