Nina mpenzi niliyekuwa namwamini but siku nilikuta meseji za mapenzi kwenye simu yake nilipomuuliza aliniambia walikuwa ex wake nikaachilia mbali. But nikamwambia azifute baada ya siku kadhaa nikachukua simu yake nikakuta zipo na nyingne kwenye simu ndogo.
Nikamuuliza ila yeye anaona kawaida siku nikaamua kukaa na simu yake wakapiga wadada tofauti nikaongea nao kistarabu na wengne wakawa wananitukana akaniomba msamaha.
Kibaya ni kwamba nilimjibu nimemsamehe but kila nikikaa nayakumbuka yote sina amani mpaka nikaamua kumwambia ukweli na nikamwambia mimi nimechoka siwezi kuwa nae tena nateseka ndani kwa ndani so aendelee na maisha yake.
But stil bado nampenda naombeni ushauri