Naombeni msaada jamani kama kuna yeyote anaweza kujua dawa ya matatizo haya anisaidie. Mimi ni mwanaume lakini nimekuwa na tatizo la kukuwa kwa makalio yangu, nimekuwa na shape kama mtoto wa kike. Mimi siyo shoga lakini kwasababu ya matatizo yangu haya kuna watu tayari wameanza kunihisi vibaya...