Elijah Maliondo
Member
- Oct 21, 2010
- 13
- 0
...nimetokea kuvutiwa na kasichana kazuri, na yeye anaonyesha kuwa na interest na mimi, lakini ni mtoto wa boss.....wanaseama mtoto wa bosi ni bosi....ukizingatia mambo ya mahusiano yana ups and downs...naogopa asije akatumia u-boss wa mzazi wake kunionyesha undava....nimuache au nimwambie la moyoni.....!!?
mmh! jamani mapenzi yanaran dunia!
Kuna siku nilijenga picha kama dunia ingekuwa na wanaume tupu, ingekuwaje!!! Mbayaaaaaa....
Na je ingekuwa na wanawake watupu??
hahaaaaaaaaaaaaaaaa unautani na boss wwUnajua humu JF kuna mtu anaitwa BOSS sasa nilikuwa sijui kama ana mtoto wa kike au siyo huyu Boss
I also want to tell you nowmwambie tu kwani hapo hakuna cha uboss ni mapenzi ya dhati yanatakiwa kwani kama anakupenda kwa dhati ww ndio utakua ze big boss sasa kwake ok........................just tell her now
Inawezekana bana Boss ana binti wa kike anatufichaficha tusijuehahaaaaaaaaaaaaaaaa unautani na boss ww
Hahahahaha!!! Bishanga vipi banaaajaribu uone cha moto.kazi nikupe,mshahara nikulipe yaani na mwanangu usarandie,lol,nakutimua fasta fasta.