indundidotcom
JF-Expert Member
- Mar 4, 2017
- 235
- 231
Huko uendako ni kupoteza mda tu trust meNilihitimu degree 2015 art.. Matokeo yangu ya kidato cha nne sikufaulu masomo vyema mawili , hesabu na historia... Baada ya hali ya ajira awamu hii kuwa kama tumesuswa hivi nataka nirudie mitihani hiyo then nisome na masomo ya chemistry na physics ili huko mbele nibadirishe fani, najiuliza yafuatayo ili niweze kufanya mtihani wa private candidate je naruhusiwa kurejea matokeo yangu ya kidato cha pili ya nyuma ili kuomba namba ya kidato cha nne ya kufanyia tena mitihani? ...AU Napaswa kusoma tena upya na kufanya mtihani wa QT Ndo ntapata vigezo vya kupata namba ya PC? Nisaidien hapa please
Kwani mkuu kwa sasa una degree ipi na ulitaka ufanye kitu gani? Unachotaka kufanya kitakuchukua kati ya miaka 5 na 7 kupata degree nyingine (hapa kuna maamuzi mazito ya kufanya) lakini labda kuna njia nyingine.Nilihitimu degree 2015 art.. Matokeo yangu ya kidato cha nne sikufaulu masomo vyema mawili , hesabu na historia... Baada ya hali ya ajira awamu hii kuwa kama tumesuswa hivi nataka nirudie mitihani hiyo then nisome na masomo ya chemistry na physics ili huko mbele nibadirishe fani, najiuliza yafuatayo ili niweze kufanya mtihani wa private candidate je naruhusiwa kurejea matokeo yangu ya kidato cha pili ya nyuma ili kuomba namba ya kidato cha nne ya kufanyia tena mitihani? ...AU Napaswa kusoma tena upya na kufanya mtihani wa QT Ndo ntapata vigezo vya kupata namba ya PC? Nisaidien hapa please
safi sana mkuuMkuu hivi ni lazima uajiriwe ili uishi?!
Nionavyo mimi haya ni mawazo ya mtu aliyekata tamaa
Kama lengo ni kufanikiwa kimaisha, jiajiri. Wengi ni wahitimu wa shahada za sanaa lkn wafanya kilimo na ujasiriamali mwingine na maisha yanaenda
Njoo PM
Sent using Jamii Forums mobile app