Emma El chapo
Member
- Jul 30, 2017
- 30
- 24
Thanx bro kwa ushauri wako, nilikuwa na malengo makubwa sana na yeye, lakini kwa kuwa ishakuwa hvyo sina budi kukubali matokeo, kwa kuwa vipimo vya awali vinaonyesha sina maambukizi ngoja nisubiri baada ya miezi 3 nikarudie vipimo, kama nitakuwa nimeumia basi sina budi kumuoa maana hata nikimuacha nitakuwa sijapunguza chochote ili asije kuumiza wengine..Unaweza kuendelea kumsaidia bila kufanya mapenzi naye kama unampenda sana.
Kumsaidia pia wewe unatakiwa uwe hai na afya nzuri, sasa kama ukipata ukimwi hautaweza kumsaidia au kujisaidia wewe mwenyewe vizuri. Endelea kumsaidia lakini acha kufanya sex na yeye. Pia kama yeye anakupenda atakuelewa vizuri.
Asante mkuu yaani mpaka sielewi, hapa nipo nae kitandani tumelala pamoja. Namuonea mpaka huruma coz ni binti mdogo wa miaka 22 anakuja kuwa na matatizo makubwa kiasi hiki
Thanx bro kwa ushauri wako, nilikuwa na malengo makubwa sana na yeye, lakini kwa kuwa ishakuwa hvyo sina budi kukubali matokeo, kwa kuwa vipimo vya awali vinaonyesha sina maambukizi ngoja nisubiri baada ya miezi 3 nikarudie vipimo, kama nitakuwa nimeumia basi sina budi kumuoa maana hata nikimuacha nitakuwa sijapunguza chochote ili asije kuumiza wengine..
Kwa kweli kuna muda najishangaa mwenyew, mtu ambae ametaka kuiweka future yangu kwenye Giza bado ninaishi nae na kulala nae kitanda kimoja kweli nina moyo sio wa nchi hii
Siogopi kufa nachohofia nguvu kazi ya taifa kuendelea kuteketea, ndo maana nataka kumfanya asiendelee kuumiza wengine
Thanx kwa ushauri mkuu, nitafanya hivyo, siwezi kumuacha bila kumsaidia, na kumsaidia yeye nitakuwa nimesaidia na wengine ili asiendelee kuwaambukizaMKUU, NISIKILIZE.
KAMA UNAMPENDA SANA MUOE TU, LAKINI TUMIA KÖNDOMU NA UMSISITIZE KUTUMIA ARV IPASAVYO.
MKITAKA MTOTO MTATUMIA ILE NJIA YA KUPANDIKIZA MBEGU.
KUNA MTU NAMFAHAMU ANAISH NA MKE MWENYE HIV NA YEYE HANA, NI MWAKA WA 12 SASA NA WANA WATOTO WAWILI.
2. OPTION YA PILI UNAWEZA OA MWANAMKE MWINGNE LAKN UKAENDELEA KUMSAIDIA KAMA ITAWEZEKANA.
Trust no one hali ya sasa inatisha, hili janga ni jini linalotembea kimya kimya
Tena mavyuoni huko ndo hatariTrust no one hali ya sasa inatisha, hili janga ni jini linalotembea kimya kimya
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani we acha tu jombaa, kifupi ni kuongeza umakini na kumuomba sana mungu