Naombeni ushauri wenu

ccm mtoto wao

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2018
Posts
562
Reaction score
483
Mimi ni kijana wa kiume nina miaka 19 sijawahi kukutana kimwili na binti. Kuna kabinti jirani na ninapoishi . Mwaka jana mwezi wa tatu aliniomba nimsindikize hospital akachukue arv. Leo hii ananiambia ananitaka tena katishia kunibaka nifanye nini mimi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katoe taarifa Polisi...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa unataka ushauri gni mtoto nenda kamsemee kwa mama alafu atakubaka ww ukiwa wp?

Ila kikubwa kuwa mbali naye ndyo suluishoo



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee pole sana kijana, akitaka kukubaka we mng'ate na akienda kukushtaki sema ulikua unajihami na adui.

Msalimu baba yenu haraka haraka.
 
Kwakua ID name yako imenivutia, basi acha akubake tu maana hakuna hasara tutakayo ipata
 
shule si mmeshafunguwa lakini, sasa humu unafanya nini lakin?
 
Ile ID yako tunayoifahamu ni ipi?
Mnaojifanya new member mna matatizo kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…