Naombeni ushauri wakuu

Masuala ya mahusiano ya atakiwa kutatulowa baina ya wahusika tuu. No third party shuld be involved maana ukweli ni kwamba nyie hamuwezi kawaambia wanakikao mambo yote. Hivyo basi wewe kama mwanaume ambaye ndio kichwa cha familia nakushauri chukua uamuzi wewe kama wewe. Fukuza huyo mwanamke tafuta mwengine.
Yaani mwanamke anaolewa kwa ajili ya kugegedwa alafu anakungima mbususu bado unaanza kujadili😲😲😲
Huyo kazi imemshinda tayari aende zake. Kazi kuu ya mke ni kugegedwa akishashindwa hilo she is redundant.
 
Kiongozi pole sana
Kwa mimi nilivyo ona, tatizo la msingi hapo ni wewe kuwa mbali na mkeo
Tambua tu kuwa, kuna watu wapo very active (wana homoni nyingi za kutaka mapenzi) namaanisha Utakuta Mwanamme hawezi kupitiliza wiki bila kulala na mwanamke na pia wapo wanawake ambao wapo hivyo hivyo (kwa kuzaliwa) ambapo hawezi kupitiliza wiki bila kulala na mtu. Na akiwa hana cha kumfanya (hayuko busy) ni mbaya zaidi kwani utagongewa na baadae kuachana/kuchuliwa kabisa

Chakufanya;
1. Jitahidi ukae karibu/ umuhamishie mkeo unapokaa
2. Jitahidi umtafutie cha kufanya (hata kuuza kigenge) ni ili tu awe bize (mtu akiwa hayupo busy, kichwa hutekwa na mambo machafu)
3. Jitahidi mkiwa pamoja, mpelekee moto kwa kadiri unavyo weza

Bila kuangalia uwezekano wa kumuhamishia ulipo na pengine kumpatia kitu cha kumkeep busy hata hivyo vikao vitakuwa suluhisho la muda tu....
 
Chai,ivi kweli inawezekanaa mwanamke namlisha Mimi halafu anitamkie hayaa...et niendelee kuishi nae dk 5 ndani.Kha! Yaani hapo namlaa Tigo halafu namwambia chukua magagulo Yako twende kwenu.
 
"........ mwanaume mwingine na tayari wapo kwenye mahusiano(hajawahi kuzini nae ila charting zao ni za romantic)............."

šŸ˜„šŸ˜„šŸ˜„šŸ˜„
 
Hujamalizia Stori, alishakufumania mara ngapi?
 
kaka shukuru Mungu amekuambia hana hisia na wewe cha msingi achana nae utateseka kama sio kujitesa
mimi wangu aliniletea mambo kama yako nikamwambia nimeshindwa mimi sasa hivi ni wiki ya pili naugulia maumivu coz bado nampenda ila imenibidi niondoke mwenyewe najua atanitesa maana hana hisia na mimi tena
 
Kanweeneee! Achana na huyo mwanamke oa mwingine usije kujinyonga bure tukakosa member humu
 
mwanamke malaya hata afungwe jela kuna watu watapiga tu, huyu wa jamaa ni kama sikio la kufa huwa halisikii dawa.
 
Mkuu ngoja nifikishwe baharini maana napelekwa mpera mpera na maji
Hakukuwa na haja hata ya kukaa hicho kikao. Mwanamke akikwambia hana hisia na wewe au hakuhitaji unatakiwa uachane nae. Mahusiano yanataka utayari wa pande zote mbili ili yaweze kudumu na kuepusha kuumizana.

Ni hatari sana kuishi na mwanamke ambae moyo wake uko sehemu nyingine.
 
Chai,ivi kweli inawezekanaa mwanamke namlisha Mimi halafu anitamkie hayaa...et niendelee kuishi nae dk 5 ndani.Kha! Yaani hapo namlaa Tigo halafu namwambia chukua magagulo Yako twende kwenu.
hayo ya kuwazia kula mkeo tigo sasa umemkoa au umejikomoa mwenye kuingiza dude lako kwenye majitaka.........lakini ujue akikushtaki unakula mvua 30; siku unatoka umeshazeeka. Wewe ukishindwana naye mwache aende zake.....
 
Ndugu yangu ukiona mkeo ameshaanza dharau za aina hiyo chondechonde naomba kaza Roho muache aende zake..Hakuna wa kubadilisha maamuzi yake kwa kupitia vikao/kikao labda yeye mwenyewe apende kubadilika na kuwa kama mwanzo, Sisi wanawake tunajijua bhana
ukiona mpaka Mwanamke wako ameamua kukwambia hivyo ujue huyo hakufai tena piga China bro...
Sisters mwalimu wetu ni kipofu Mara nyingi tuna tabia ya kutema Big G kwa karanga za kuonjeshwa🫣
Ndugu kaza moyo songa Miele usirudi nyuma kamwe na usiyumbe maana akiona u mdhaifu mbele yake atakutesa sana
 
Be a man ain't a boy
Una utoto mwingi bado mkuu
Ndio maana anakupanda kichwani
 
Piga chini ASAP utakuja fanyiwa tukio la kigaidi utupe huzuni wana jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…