Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,038
- 13,467
Mitaa yangu hiyoMaharage yanjano(yale yasiyotambaa
Mkoa wa Ruvuma,
Vijiji vya Songea +mbinga + namtumbo madaba
kuna vijiji kama Mputa, Mbwambwasi, peramiho vijijini na baadhi yamaeneo kuelekea madada bado ardhi ipo
..kwa hiyo pesa unaweza Lima hata hekari tano mpka 7 nachenji ikabaki
Kutokana namvua msimu mzuri nimwezi wapili mpka watatu kufikia tareh 15 uwe ushapanda mwez wa sita unavuna
Kwamwezi wa12 yanakubali tatizo lipo yakianza kauka hivyo itakupasa uwe nabanda lakuweza kuanikia nakuhfadhi maharage yako
Maeneo kama mbwambasi navijiji vyakaribu kama Muhukuru kuna ardhi yakutosha nawatu bado hawajastuka hivyo unaweza wahi kwabei rahisi mpaka 90 mpka 100 elfu kwa hekari
Nikilimo chamiezi miwil mpka mitatu
Uwa tunatembelea ase mara moja mojaMitaa yangu hiyo
Maharage yanjano(yale yasiyotambaa
Mkoa wa Ruvuma,
Vijiji vya Songea +mbinga + namtumbo madaba
kuna vijiji kama Mputa, Mbwambwasi, peramiho vijijini na baadhi yamaeneo kuelekea madada bado ardhi ipo
..kwa hiyo pesa unaweza Lima hata hekari tano mpka 7 nachenji ikabaki
Kutokana namvua msimu mzuri nimwezi wapili mpka watatu kufikia tareh 15 uwe ushapanda mwez wa sita unavuna
Kwamwezi wa12 yanakubali tatizo lipo yakianza kauka hivyo itakupasa uwe nabanda lakuweza kuanikia nakuhfadhi maharage yako
Maeneo kama mbwambasi navijiji vyakaribu kama Muhukuru kuna ardhi yakutosha nawatu bado hawajastuka hivyo unaweza wahi kwabei rahisi mpaka 90 mpka 100 elfu kwa hekari
Nikilimo chamiezi miwil mpka mitatu
....nyanya!nimekumbuka commerce yangu... perishable and non perishable....sijui kama muuliza swali anaikumbuka...Hongera sana kwa kufanya maamuzi sahihi, kilimo kiko poa sana ukiwa makini.
Ushauri wangu fanya kilimo cha Nyanya, mengine kuhusu wapi ufanye watakuelekeza wengine. Nikifa MkeWangu Asiolewe njoo utoe madini huku.
....nyanya!nimekumbuka commerce yangu... perishable and non perishable....sijui kama muuliza swali anaikumbuka...
Kwa wastani heka moja mpaka unavuna ni laki 5Ufuta wastani kwa ekari unagaharimu kiasi gani
Kwa wastani heka moja mpaka unavuna ni laki 5
mkuu heka moja ya ufuta haiwezi kufika gharama ya laki tano
Jamaa kasema haifiki 200,000 ,wewe unasema 500,000!!Kwa wastani heka moja mpaka unavuna ni laki 5
Mkuu gharama zinatofautiana kulingana na upatikanaji wa rasilimali na eneo ambalo mtu amaeamua kulima heka moja kwa laki 2 ni kadirio dogo sana assumption kukodi shamba heka moja ni 50,000/=, kusafisha likae tayar kwa kulima (kukatia mafukutu) 30000, dawa za kuua magugu na upuliziaji 40000, kulima 30000, mbegu kilo 2-20000, hapo hujaweka gharama za kupamban na wadudu na dawa za booster gharama za vibarua hatua zote za kupalilia , kupogorea, kuvuna ,kuandaa vichanja n.k laki 5 n reasonable mkuu kwa laki mbili labda kama unakomaa mwenyewe shamban hauna msaidizi shamban n sawaJamaa kasema haifiki 200,000 ,wewe unasema 500,000!!
Tofauti ni kubwa.sana
Heka moja inakadiriwa kutoa kilo 300- 500 kama kuna usimamizi mzuriNa heka moja wastani una vuna gunia ngapi za debe sita?
Boss unalimia wapi ww?Papaa Gx nimefika.
Ahsantee Kwa wito.
Naungana na wewe kuwa afanye kilimo Cha bustani (umwagiliaji).
Aingie Kwa kumaanisha at least basi aanze na heka ya nyanya.
Vitu vya msingi
Awe mzoefu au ajiri wazoefu wa kazi hii hasa nyanya.
Awe mchapakazi haswa namanisha auhusike 100% yeye na watu wake. Asiwaachie vibarua!
Mtaji wake unatosha kwa heka1 ya nyanya
Azingatie matumizi sahihi ya mbolea na madawa hapa ndo pa mhimuki zaidi maana.
Mbegu Bora.:Mkuu hapa ukiamua nicheki inbox nikuelekeze wapi utapata mbegu nzuri ya nyanya.
KWanini nimeshauri awe na heka ya nyanya hii ni Kwa sababu ya soko hakuna mfanyabiashara mkubwa ataleta gari lake kwenye shamba kidogo hayupo matokeo yake utauzia hao wamama wa magenge tu hao hutaona faida.
Saivi nyanya inatafuta sana na waganda wanywaranda nk wanakuja Hadi shambani Mimi kama mkulima ndie naye kwambia maana ndo wateja wangu.
Nadhani niishie hapa kama unaswali karibu Kinumbo
GeitaBoss unalimia wapi ww?