Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,322
- 27,152
Kwa upande wa mkoa upi unafanya vzr zaidi sijui Mimi sijawahi Lima mkoa tofauti na Geita&mwanza.Asante sana kwa muongozo, bado nina maswali kwako usinichoke tafadhali. Nimefurahi kuwa wewe mwenyewe ni mkulima wa kilimo husika cha nyanya vipi kuhusu mkoa ama sehemu inayo kubali kwa kilimo cha nyanya na msimu mzuri wa kulima nyanya ni upi? Asante
Ndio huu ni ukweli huwezi Lima heka3 Kwa mtaji wa m5 huwezi mkuu.Duh! Ina maana 5M kwa heka 3 hiyo hela ni kidogo sana! Asante kwa taarifa
Tanzania kusema mazao ya biashara ni kama vile Pamba, Kahawa, chai, tumbaku na Pareto! Sasa sema labda unataka kulima kitaalam zao la mpunga au mahindi ambayo ni mazao ya chakula!Ndio maana nimekuja kwenu kuomba ushauri, naomba taarifa sahihi mzee.
Kwa upande wa mkoa upi unafanya vzr zaidi sijui Mimi sijawahi Lima mkoa tofauti na Geita&mwanza.
Japo nimetembea kama morogoro,Arusha,pwani nk kote huko nyanya nilikuwa naona inastawi.
Uchaguzi wa mbegu Bora ndo solution mkuu. Mimi sio mtaalamu wa shuleni ila ni mkulima mzoefu wa zao hili.
Ndio huu ni ukweli huwezi Lima heka3 Kwa mtaji wa m5 huwezi mkuu.
Mbegu bora pekee ya kutosha heka 1 itenge laki7-8 Hivi.
Bado madawa na mbolea vibarua,kamba na miti ya kufungia nyanya Yako. Binafsi Hadi Sasa Hivi navuna Nina heka imetumia m3 na 457k Kuna zingine nilikuwa siandiki kama pesa za sabuni,mboga nk za wafanyakazi wangu.
Katika shamba hili sijakodi
Samadi sijanunua ipo home tu.
Niishie hapa mkuu
karibuUshauri mzuri sana huu, nyanya inatumia gharama kubwa sana mpaka hatua ya mwisho. Ila ni zao ambalo linaweza kutoa mara kumi ya kile umetumia. Ngoja niweke mambo sawa msimu ujao nije tuungane huko.
Sikushauri uache kulima mahindi uende kwenye ufuta, mahindi mavuno yana uhakika zaidi kuliko ufuta.Ufuta wastani kwa ekari unagaharimu kiasi gani
Huo ufuta tulilima tukiwa wadogo aisee ili ujaze gunia inabidi ujipinde hasa.Sikushauri uache kulima mahindi uende kwenye ufuta, mahindi mavuno yana uhakika zaidi kuliko ufuta.
Umeona. Nimeshalima ufuta ekari 40 skufikisha hata milioni kumi.Huo ufuta tulilima tukiwa wadogo aisee ili ujaze gunia inabidi ujipinde hasa.
Nakumbuka tulikuwa tunapiga mzigo huo ila matokeo yake hata ndoo kujaa ni mtihani.
Ila soya nitalima Tena maana nililima miaka kama 5 iliyopita
Jikite katika kilimo cha vitunguu maji Singida au Iringa (Ruaha Mbuyuni).Habari zenu wapambanaji
Leo niko mbele yenu kutaka ushauri wa kimawazo kutoka kwenu ndugu zangu. Niko kwenye mpango wa kuingia kwenye kilimo kwa kumanisha hasa. Nina bajeti ya kiasi cha Tsh. 5M, hivyo kutokana na hicho kiasi niko mbele yenu kutaka ushauri wa mawazo kwa haya yafuatayo.
Nahitaji kufanya kilimo biashara na pia nahitaji ku dili na mazao ya biashara, hivyo naomba ushauri ni fanye hasa kilimo cha zao/mazao gani? Swali langu kuu ni hilo, nataka ushauri kutokana na nchi yetu Tanzania ni mazao gani ya biashara ambayo nikifanya ni hot cake. Nafahamu watu wanafanya kilimo cha Mahindi, Mpunga, Maharage, Nyanya nakadhalika. Binafsi nilihitaji ni komae na zao moja la biashara hivyo naomba ushauri wenu kwenye hilo.
Pia napenda kufahamu ni wapi ndani ya Tanzania hii zao husika linakubali kutokana na hali ya hewa, mfano ukiniambia fanya kilimo cha mpunga ningependa kujua ni wapi zao hilo niende kufanya ambapo unaona linakubali zaidi. Kutokana na kiasi changu napenda kuanza na heka tatu, nimedhamilia kuingia kwenye kilimo kwa msimu huu.
Natanguliza shukrani za dhati kwenu nyote, niko hapa nasubiri ushauri wenu. Ushauri wenu nitauzingatia kwa kina, asanteni sana.
Karibu.
Jikite katika kilimo cha vitunguu maji Singida au Iringa (Ruaha Mbuyuni).
Pesa mara nyingi haitoshi ila ukiamua hiyo pesa ninyingi mkuu
Kilimo nisehem sahihi kwangu nashauri ulime maharage
Ukiyazingatia vizuri kwahyo pesa unaweza pata mwanga zaidi
Huo ufuta tulilima tukiwa wadogo aisee ili ujaze gunia inabidi ujipinde hasa.
Nakumbuka tulikuwa tunapiga mzigo huo ila matokeo yake hata ndoo kujaa ni mtihani.
Ila soya nitalima Tena maana nililima miaka kama 5 iliyopita
Wataalamu wa hesabu wakiwa wengi hata kilimo kitakuwa na tija maana mtaani tutakuwa na watu wenye kufikir sana. Read and vote here
SoC04 - Tanzania tuitakayo, bila kilio cha ufaulu hafifu wa somo la hisabati kidato cha 4
Utangulizi Somo la hisabati (mathematics) ni moja kati ya masomo yaliyoko kwenye mtaala wa masomo Tanzania kwa kidato cha kwanza hadi cha nne. Kutokana na umhimu wake kwa mtu binafsi, jamii na taifa kwa ujumla, somo hili ni msingi kwa kila mwanafunzi katika ngazi hiyo kulisoma na kufanyiwa...www.jamiiforums.com
Maharage yanjano(yale yasiyotambaaAsante sana, ni aina ipi ya maharage ambayo sokoni yana soko, vipi kuhusu mkoa mpaka kijiji ni wapi nikaweke kambi? Kwa huo mtaji unadhani naweza lima heka ngapi, msimu mzuri ni kuanzia mwezi wa ngapi kwa kilimo hicho?
Sahizi ndo navuna mahindiUmeona. Nimeshalima ufuta ekari 40 skufikisha hata milioni kumi.
Mahindi nyanda za juu kusini ukilima kitaalamu mavuno ni uhakika sababu mvua zipo.