Naombeni Ushauri wadau

Status
Not open for further replies.
wewe utakuwa mganga unauza hizo dawa, hapa unatafuta wateja. mwanamke amekufanyia jambo kamahilo halafu unakuja hapa kuuliza sasa ufanyeje? kweli?
 
Kwanza mimba haikuwa Yako alikudanganya, pili hiyo mimba alitoa haikuharibika, tatu ameona akiwa na wewe Kuna haueni ya maisha ndio maana akashawishika kukuwekea dawa. Hitimisho huyo hafai kuwa mke
 
Reactions: GT1
Kwa nilivyowasoma nyinyi wote wawili Ni Pwagu na Pwaguzi.
 
Sasa baada ya kumbana sanaa akaja kusema ukweli kuwa aliambiwa na wale ndugu zake kuwa aje aniwekee dawa ya mapenzi ili nimpende yeye tu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…