Naombeni ushauri wa tiba wa ugomjwa huu

ashomile

ashomile

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Messages
1,711
Points
2,000
ashomile

ashomile

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2017
1,711 2,000
Pole Sana mkuu.
Umejaribu kuangalia kama sio mazingira unayolala yanakuathiri? Labda vumbi, mto au godoro? Mfano ukisafiri hali inakua ile ile?

Ungeweza kutafuta family Dr ambae ni physician atakaekuhoji na kuangalia connection ya ugonjwa na historia yako. Kuna mmoja mzuri Sana ila Yuko dar. Ukipenda kumuona uje pm nikupe namba Yake.


Kila la kheri mkuu
Mkuu haijarishi mazingira ninayokaa nimejaribu kwenda sehem mbali na Mgodin lk. Hali ni ile ile
 
Jason Statham2

Jason Statham2

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Messages
576
Points
1,000
Jason Statham2

Jason Statham2

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2018
576 1,000
Baada ya kufahamu lung capacity ndiyo anaweza kuanza kutibiwa na salbutamol na prednisone. Antibiotics kama ana chest infection
Dada una madini tosha kumbe kule unaamuaga tu kujichetua just for funny big up...
 
Jason Statham2

Jason Statham2

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Messages
576
Points
1,000
Jason Statham2

Jason Statham2

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2018
576 1,000
Pole sana.Mbona tatizo lako ni dogo sana.Wapo waliokuwa na makubwa kuliko yako lakini yamekwisha na sasa wanadunda kama kawaida.

Inaelekea hujafika kwa huyu mganga au daktari wa uhakika ambaye nataka nikuagizie anapatikana hapo Shinyanga karibu na hapo nyumbani kwako.

Hata mimi nikipata shida namwita ananisaidia sana.Usifikirie kuhusu fedha za matibabu na dawa.Gharama yako wewe ni kuamini atakalokuambia na kulifuata.Gharama nyingine anakulipia yeye.

Ni mganga mzuri na wa uhakika . huyu anaitwa Maombi.Kupitia Jina la Yesu Kristo.
Nenda kwenye kanisa lolote linalomubiri Kristo.Hapo watumishi watakuombea na huo utakuwa mwisho wa shida yako.Chukua hatua sasa utapokea uponyaji kupitia kanisa ni, mikutano ya kiroho na hata kupitia watumishi wa Mungu.Gharama ni bure.

Usidanganyike wa Ganga wa kienyeji hawana dawa yoyote usihangaike nao watakumaliza
Nyie ndo munatupotezea wapendwa wetu wengi. Hebu kaa pembeni usituchoshe. Nilimpoteza kaka yangu kwa issue hizi hizi za kiboya boya. Dunia ni zaidi ya ulivyoaminishwa. Sorry huu ni ukweli mchungu.
 
VeronicaAmadu

VeronicaAmadu

Senior Member
Joined
May 4, 2011
Messages
168
Points
250
VeronicaAmadu

VeronicaAmadu

Senior Member
Joined May 4, 2011
168 250
kifedha siko vzr kwa ssasa sababu hata pesa niliyokuwa nayo nillifanyia miradi ya kimaendeleo hivyo kama ntaendelea kuwa hai basi ngoja nipigane nikiamini Mungu atanisaidia niweze kwenda kwenye tiba.
1. Mindset.
2. Attitude.
Ndugu pole sana. Ni muhimu ukawaza positively na sio negatively. Unasema “kama ntaendelea kuwa hai” nikwambie ndugu hakuna Daktari wala dawa yoyote itakayofanya kazi on a defeated attitude and mindset. katika situation yoyote, half the battle is your mindset, its fifty fifty, positive attitude and you are halfway towards victory, negative mindset and you are half way towards defeat. Change your mindset, and you just won half the battle.
The glass is half full, not half empty. Kila la heri.
Cheer up.
 
kiduku mpapaso

kiduku mpapaso

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Messages
456
Points
1,000
kiduku mpapaso

kiduku mpapaso

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2018
456 1,000
Dalili zinashabihiana sana na REFLUX LARYNGITS(Laryngealpharyngeal reflux disease)....ugonjwa huu hasa husababishwa na reflux(backflow) ya gastric content(GERD)....specifically Pepsin...husababishwa na some weakness za milango ya juu na chini ya njia ya chakula(Esophugus) ikianzia kinywani hadi linapoanzia tumbo.
Tindikali hii huathiri kuta za njia hiyo na inaporuka kwenda kwenye Airway(Larynx) basi husababisha dalili za kikohozi kikavu hasa unapokua umelala flat kwani reflux hutegemea pia gravity.Pia unaweza kupata pumu,vimbe kwenye vocal cord,sauti kupotea na kurudi.

Lakini mwanzo kabisa mtu huweza kuhisi kama kuna kitu kinakaba kooni(globus sensation),kuwa na ute mwingi mzito kooni(excessive phlegm),kuwa mkavu sana kooni,kuhisi kama masikio yamejaa maji,kichefuchefu especially asubuhi,kiungulia na kuhisi kuna kitu kinaunguza kooni au kifuani(heartburn),kupaliwa mara kwa mara unapokua umelala usiku.
Hii ni topic pana ila nakushauri uonane na Daktari Bingwa wa ENT(Otorhinolaryngologist).
Bugando wapo kadhaa.
All the best
hii hali inanitesa sana mkuu kwa haya maelezo ndio dalili zote ninazo mkuu
 
king mbappe

king mbappe

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2018
Messages
268
Points
500
king mbappe

king mbappe

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2018
268 500
Wengi hatuna uelewa wa COPD, kijijini kwetu wagonjwa wa kifua cha mshipa walipewa chai ya iliki. Iliwasaidia kutibu kifua.

Baada ya kugundua kuwa iliki ni natural antibiotic, nikafahamu babu zetu walikuwa na maarifa sana.

Ukipika maandazi ukiweka iliki ina inhibit fungal kwa muda mrefu kuliko maandazi yasiyo na iliki.
my sister you know so much about trees farm (miti shamba) you should be a local medicine woman.
 
K

Kwekitui

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2017
Messages
499
Points
500
K

Kwekitui

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2017
499 500
Mkuu umesahau kuwa huyu ni ngosha
unasema unakohoa bila makohozi halafu kwenye kupima ulipima makohozi, how??

Nenda kapime X Ray ya kifua utapata jibu. Kwa hizo dalili I guess something like pulmonary oedema (maji kwenye mapafu), ila vipimo ndio vitatoa majibu sahihi.
 
K

Kwekitui

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2017
Messages
499
Points
500
K

Kwekitui

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2017
499 500
Sukrani Daktari kwa maelezo yaliyoshiba...
Pia kama ni mcheza mpira/mwanariadha wakati mwingine wanapata hitilafu hizo

Nakumbuka baba mdogo aliendesha basikeli na kucheza mpira mwishowe akapatwa na kifua
Ulishawahi kuvuta sigara?
Ulifanya kazi katika mazingira ya hali ya air pollution?
Una umri gani?

Kumbuka kifua kinahusika katika mfumo wa hewa. Hewa inayoingia mwilini ikiwa safi ni lazima itoke ikiwa chafu. Maana yake inasaidia kutoa uchafu mwilini.

Kama mzunguko wa hewa una matatizo husababisha matatizo kwenye mzunguko wa damu na moyo.

Kama mdau ISLETS alivyoeleza kuhusu pulmonary oedema. Ninamashaka kuwa unasumbuliwa na kufua cha mshipa (COPD) Chronic Obstruction Pulmonary Disease.

Nenda clinic wa check capacity ya mapafu yako ku exhale and inhale.

Mfumo wa hewa ukiwa na hitilafu hudhoofisha immune system ya mapafu ambayo ni imara sana.

Wagonjwa huhitaji uangalizi wa karibu wa daktari katika kutibu infections za kifua, dawa za kutanua mishipa ya hewa na steroids.
 
proxy

proxy

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Messages
945
Points
2,000
proxy

proxy

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2016
945 2,000
Kuna tiba moja unaishau nayo ni MAOMBI. Hakuna kinachoshindikana ukiamini na kusali.

Nenda ukaombewe na uhakika utapona mazima.

You will thank GOD later.
Ila sometimes walokole huwa nashindwa kuwaelewa ,yani mtu anakohoa akaombewe baada ya kumshauri aende hospital kubwa akafanyiwe checkup daaa ,sidharau uponyaji wa Mungu ila huwa nashangaa sana why now days kila mtu akileta uzi wa matatizo ya homa basi haukosi ushauri wa kwenda kuombewa .
 
Mwangi Telvin

Mwangi Telvin

Member
Joined
Jul 6, 2019
Messages
7
Points
45
Mwangi Telvin

Mwangi Telvin

Member
Joined Jul 6, 2019
7 45
Pole sana ndugu, kwa tatizo lako lazima upate ushauri na matibabu ya specialist, stori za watu kupona na dawa nyinginezo haziwezi kukupa suluhisho la hilo tatizo lako,
Fika muhimbili, tuwasiliane kwa ushauri na matibabu
0784969283
+25558925814
 

Forum statistics

Threads 1,325,475
Members 509,127
Posts 32,193,460
Top