@nyani roho inaniuma nikimuona yuko anafuraha na m2 mwingne,ninachotamani ni kumuacha bt naogopa kuitesa nafsi yangu,ila cwez kuendelea kuwa mtumwa wa mapenz na kunyanyaswa kifikra ni mambo gani nifanye ili atoke kabisa akilini na nisimpende tena?
Na umesema huyo msichana ni mtoto wa shemeji yako. Yaani huoni kama tayari ameshakuwa nduguyo? (kiafrika zaidi, lol). Naye ameshajua kuwa hakuna future hapo anatafuta mtu wa kutengeneza naye familia, achana naye, move on na tafuta binti mwingine atakayekuwa mwenzi wako wa maisha. Kama kweli nimekuelew umemaanisha nini
na usiseme kumdump, kwani amekuwa taka yeye? umeanza dhambi ya kumzini nduguyo, na unajua kabisa kuwa hutamwoa. Achana naye mapema, nahisi shemejio hajajua kama unamzini mwanaye, so ondoka kimya kimya na umsahau