naombeni ushauri wa haraka

naombeni ushauri wa haraka

maimatha

Senior Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
129
Reaction score
162
naombeni msaada wanajamvi.
mimi nimsichana naombeni ushauri mwenzenu nikiwa katika mahusiano haichukui mda namchukia bf nitakae kuwa nae tena kila mda natamani kumuacha na nitafanya mbinu zote ili kuhakikisha tunaachana baada ya kuachana nakaa mda najutia maamuz hali hyo imenitokea miaka mingi sasa. nimejikuta nikipoteza wachumba wengi.naombeni ushauri wandugu
 
Inawezekana una jini mahaba hafurahii wewe kuwa na mahusiano na mwanaume mwingine. Dalili kubwa ni kama unaota unakutana kimwili na mwanaume kwenye ndoto, kama ni hivyo inabidi uende kanisani kuombewa hasa ya maombezi.
 
hizi ni mambo za kina shehe yahya huwa si nzuri sana let her sell her body aisee..
 
Hapo dear unahitaji msaada wa maombi maana hali hiyo si ya kawaida kabisa. Kuna mchangiaji hapo juu amesema pengine una jini mahaba yeah inawezekana kuna ukweli ktk hilo . Lkn usiogope kwani hali hiyo inatibika kwa maombi .
 
Hao maboyfriend unaowaacha wana hela? Kama wanazo na unawachukia probably una jini mahaba mtafute MziziMkavu atakusaidia mkuu maimatha wa Jesse
 
Last edited by a moderator:
naombeni msaada wanajamvi.
mimi nimsichana naombeni ushauri mwenzenu nikiwa katika mahusiano haichukui mda namchukia bf nitakae kuwa nae tena kila mda natamani kumuacha na nitafanya mbinu zote ili kuhakikisha tunaachana baada ya kuachana nakaa mda najutia maamuz hali hyo imenitokea miaka mingi sasa. nimejikuta nikipoteza wachumba wengi.naombeni ushauri wandugu

Ushauri gani unaotaka upewe?, wewe kicheche tu huna maana hata kidogo. Pia kumbuka ukija kustuka tayari hilo limbunye lako litakua utamu wote kwisha na litabakia kwa ajili ya kukojolea tuu.
 
Mapepo hayo, na yanasababisha "Tufanye vitu tusivyopenda kufanya, na kutoweza kufanya vile tunavyotamani kufanya". They are powerful than us, kushinda unahitaji kilicho powerful kuliko wao; kwa sisi wakristu ni Jina la Yesu na MOTO wa Roho Mtakatifu.
 
Ushauri gani unaotaka upewe?, wewe kicheche tu huna maana hata kidogo. Pia kumbuka ukija kustuka tayari hilo limbunye lako litakua utamu wote kwisha na litabakia kwa ajili ya kukojolea tuu.

asante
 
My dears... Msimjudge huyu binti vibaya.
Haya mambo yapo,yasipokutokea wewe yatamtokea hata dada yako.
Kama unafatilia mahubiri na shuhuda mbalimbali,wapo wengi tu, esp Kwa Tb Joshua.
Mnapomtolea maneno ya kshfa na kejeli na dharau ,
unajisikiaje ndani ya moyo wako?
amani- kwamba umemkomesha,?do u know her?
furaha-kwamba unaongea uwezacho as long as nobody knows you here?
Au hujui unachofeel,basi kama hujui,Ipo siku utalipwa then utapata feeling yoyote.
Na nakuombea jini moja lenye mahaba makali likufate ulipo.

Pole@maimartha, hayo mambo kwa uelewa wangu ni mapepo,majini mahaba na huwa na wivu sana sana.
Kuna posts nyingi humu,kuhusu hayo mambo. Na uhakika utapata suluhisho. Na Kuwa na amani,everything will be okay,Trust God!
 
Mapepo hayo, na yanasababisha "Tufanye vitu tusivyopenda kufanya, na kutoweza kufanya vile tunavyotamani kufanya". They are powerful than us, kushinda unahitaji kilicho powerful kuliko wao; kwa sisi wakristu ni Jina la Yesu na MOTO wa Roho Mtakatifu.
spritual husband huyu
 
maimartha jifunze kuridhika....yaani kukubali kuwa kuna baadhi ya vitu huwezi kuvipata wala kwa wakati uliopo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom