Naombeni ushauri tafadhari wakuu

Mangungo II

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
18,001
26,305
miezi michache iliyopita nilitokea kumpenda msichana fulani ambaye ni jirani yetu so nikaamua kumwelelza hisia zangu kwake kama bahati akanikubalia na mapenzi yakaanza hapo yalikuwa motmoto na ilikuwa ni lazima kila siku tuonane yeye alikua anpenda kuja kwetu.Huyumpenzi wangu yeye anaresit mitihani ya kidato cha 4 mimi nasoma diploma chuo flani hapa mjin .Tatizohapa lililojitokeza nikwamba huyu msichanaameanza mizinga sanamara vocha nk, bila kutathimni yote status yangu mm nipo chuo sina kazi na nasomeshwa kwa msaada wa ndugu na hivi sasa amekata mawasiliano sababu simtmizii hayo yote najaribu kumtafuta ili nimwleleshe lakini ananikwepa na si kweli kama kwao wa shida sana nifanye nini wandugu kwa sababu bado nampenda /
 
hahahaha wewe ulidhani utapewa K bure bure tuu hapa. kijana lazima uhudumie kidogo sasa wewe vocha waona tabu jamani wkati yeye anakupa utamu. usiwe mchoyo kijana. alafu soma signature yangu utajifunza
 
Lipia hiyo K acha ubahili bana..
Kama ulijua unasoma mapenzi ya nini tena aisee..
Hata Marehemu Mbaraka Mwishehe alishasema 'mapenzi na shule ni hatari kwa vijana'...
 
Mmmmm! Sasa mtu wangu ikiwa wewe mwenyewe unasomeshwa kwa ufupi ww mwenyewe ni mzigo unaenda kuchukua mashaka mwengine,huyo mwanamke hat kama mambo kwao safi hainamaana ndio usimpe hata chips na kuku nusu, kama huyawezi usiyaanze manake ukikosea ukimtia mimba ndio msaada unaopewa kusomeshwa utaishia hapo ebu aste aste...maliza masomo wasichana hawaishi...
 
Je una umri gani?
Je una hitaji kuwa na msichana kwa sasa?
Lengo la kuwa na msichana kwa sasa ni lipi,awe demu,mchumba n.k?
Kama lengo ni mchumba,kutoa matumizi ya kawaida ni maandalizi ya kujiandaa kutegemewa.
Kama lengo ni awe demu tu, mizinga ni sehemu ya aina hii ya mahusiano.
Ushauri, kama mahusiano huyawezi achana nayo hii ni karne ya kimjini mjini...hakuna mapenzi ya bei rahisi
 
Ukipenda kula vya wenzio na vyako huliwa!(Joke).
Nafikiri cha kufanya kama una mpango naye wa muda mrefu ni vyema ukaendelea kumtafuta na baadaye kuongea naye na kumwelewesha hali halisi ya kiuchumi uliyonayo na kumuomba awe mvumilivu ktk kipindi hiki ambacho wote mpo masomoni. Lakini hili lisikuzuie wewe usiweze kumnunulia japo perfume au zawadi nyingine ndogo ndogo mara chache pale unapojaliwa kupata senti chache. Kama anakupenda na ana mapenzi ya kweli naamini atakuelewa.

Otherwise, mpige chini maana unajiongezea mzigo usioweza kuubeba wakati wewe mwenyewe hapo ulipo ni mzigo.
Pole.
 
kwa hiyo mchafuane halafu hela ya sabuni akaombe kwao?
unapomtext na yeye anakujibu unadhani simu yake inatumia solar?

mapenzi gharama....

na huyo binti mpuuzi sana badala ahangaike afaulu yupo busy na mapenzi? ebohhhh
 
jitahidi...usiwe mrahisi kupenda..utaumia....focus kwenye mambo yenye faida mbeleni,sitisha huduma za mahusiano kwa muda....songa mbele,,,utampata of your type as time goes by......mademu wapo telee sio yeye tu,pesa zipo telee na sio wewe huna,wengine wanazo watakuibia.....maisha ni hatua,ukimaliza elimu yako utapata cash ya kuhudumia,na labda utampata mwingine bora....kila la kheri...........za mbayuwayuuu....changanya na zako!!!
 
miezi michache iliyopita nilitokea kumpenda msichana fulani ambaye ni jirani yetu so nikaamua kumwelelza hisia zangu kwake kama bahati akanikubalia na mapenzi yakaanza hapo yalikuwa motmoto na ilikuwa ni lazima kila siku tuonane yeye alikua anpenda kuja kwetu.Huyumpenzi wangu yeye anaresit mitihani ya kidato cha 4 mimi nasoma diploma chuo flani hapa mjin .Tatizohapa lililojitokeza nikwamba huyu msichanaameanza mizinga sanamara vocha nk, bila kutathimni yote status yangu mm nipo chuo sina kazi na nasomeshwa kwa msaada wa ndugu na hivi sasa amekata mawasiliano sababu simtmizii hayo yote najaribu kumtafuta ili nimwleleshe lakini ananikwepa na si kweli kama kwao wa shida sana nifanye nini wandugu kwa sababu bado nampenda /
If ur arent old enough to be a legal adult,financially support urself and another person,own a car,have/rent a house,get married and emotionally handle rejection,then what on earth makes yu think you are ready to have sex?
 
inaelekea bado mdogo, maliza shule ndio uanze mapenzi. kama alikukopesha uroda baai we shukuru. Huna uwezo wa kumhudumia kaa pembeni utaumia roho bure
 
jamani mafuta yamepanda so gharama za mapenzi nazo lazima zipande kwani hamjasikia kuwa mafuta yakipanda lazima kila kitu kipande
chakufanya dunduliza dunduliza umwezeshe then kwenye kula mzigo kula as if unalipia kweli sio kidogo tu ooo nimechoka kama vipi tumia mhogo bonde
 
kwani si umeshamchapa nao unataka akukatie uondoke nayo huwezi kugharamia k sepa yanini kujitia stressza bure.
 
JF tamu sana! ukinuna utacheka, ukicheka utanuna, ukiuliza chochote utajibiwa, ukitaka ushauri ndo usiseme watu wanatiririka si mchezo! BIG UP JF
 
kwa hiyo mchafuane halafu hela ya sabuni akaombe kwao?
unapomtext na yeye anakujibu unadhani simu yake inatumia solar?

mapenzigharama....

na huyo binti mpuuzi sana badala ahangaike afaulu yupo busy na mapenzi? ebohhhh

kiongozi wala sidhani kuwa hapo hayo ni mapenzi,

hizo ni balehe tu za ujana....................
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom