Naombeni ushauri niko dilema

Urafiki ni kitu kizuri kilinde hiko Mkuu

Mazoea yalipotiliza U ache Kuwa na mipaka
 
mzee either umuite muongee umrecord mazungumzo yote kwa sim
obvious yy atakua anafunguka tu na hata hio mipango yake ya kukuharibia kwa mshkaj wako then mpige chin bila kumuambia ulikua una mrecord
baki na uitunze hio recordin kama vyeti vyako vya elim kama dem akikuharibia jamaa akikujia amepanic unacho cha kujitetea
 
unapoitwa mwanaume ni pale unapojua kutatua tatizo kubwa na zito... had hapo ulipofika bado siyo mwanaume sababu hilo swala ilikuwa kuamua tu.. kuleta humu inamaana unatarajia jibu la kuruhusiwa kula..!!!
 
Sijaelewa mantinki ya swali. Rejea "ni sahihi kutembea na mtu na wadogo zake wawili?" hapo kwenye wadogo zake wawili ndio penye shida. Inamaana hujui kua hao wawili nao kuna mkubwa na mdogo ama!!!
 
ushauri nasaha. Chukua huu ushauri
 

Attachments

  • upload_2017-4-3_15-17-56.png
    97 bytes · Views: 33
Umechuma janga kale na wa kwenu!Ukipanda maharage utavuna maharage,mahindi utavuna mahindi,choroko utavuna choroko,je wewe ulipanda nini?je unaelekea kupata mavuno tofauti?nijibu alafu nikushauri
 
Kawaida yangu mimi sifanyi mazoea na mke ya mtu hata kama mumewe ni rafiki wa kufa na kuzikana. Yaani sizoeleki hata kwa kulipwa. Ushauri wangu, hama kabisa huo mtaa vinginevyo yatakukuta mabaya
 
Tafuta na kusikiliza wimbo wa tamaa mbaya wa 20% kwa gharama yoyote.
 
Jamani huu urafiki sijui ushosti kwenye mausiano yangu me hapana taka kabisa......

Mazoea ni mabaya sana yakizidi kias
 
Ni mtu mzima mwenzio usinitishie nyau!!!!!
 
Kuamini mikasa yajf naukatoa mawazo yako kwakutumia akili nyingi ikibidi hata kuwashirikisha watu wako wakaribu ili tu uweze kumshaur mwana member mwenzako aise yataka iman kubwa
 
Umepazoea kwao kuliko hata kwako.
Kaa kwako tulia, achana na mke wa mwenzako. Yeye aharibu anavyojua na wewe useme ukweli wako hata kama hutaaminika na huyo best ako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…