Naombeni ushauri ndugu zangu

Naombeni ushauri ndugu zangu

Joined
May 23, 2020
Posts
5
Reaction score
4
Jamani habari za majukumu,

Naomba niwape historia yangu ya maisha mwenye ushauri anisaidie ndugu zangu.

Iko hivi, Mimi ni kijana wa kiume naitwa Levocatus kwa sasa nipo Dar kwa rafiki yangu nilikuja huku kutafuta uahueni wa maisha lakini mambo yamegoma kabisa na kufikia hatua hii ya kuomba ushauri

Levocatus nimesoma kiasi ni mtaaluma wa afya niliehitimu mwaka Jana kulingana na ajira kuwa ngumu ikabidi nijichanganye kukomaa na kazi yoyote itakayonipa riziki halali lakini hali imekuwa ngumu kufikia hatua ya kukosa kabisa pesa ya kujikimu.

Mimi nilifiwa na wazazi wote wawili pindi nikiwa mdogo, nimekulia kwa ndugu mpaka kuhitimu masomo ikabidi niondoke nije mjini kujitafutia lakini imekuwa ngumu kufanikiwa maake sina mtaji ,sina ajira imefikia hatua nawaza mawazo ambayo sio mazuri imefikia hatua nakata tamaa.

Ninaomba kama kuna mtu anaehitaji mfanyakazi yoyote ambayo ni halali anisaidie plz kama una nyumba ambayo waweza kunihifadhi nikawa ndugu yako wa hiali na kunisaidia angalau nisimame na kujisimamia naomba mnisaidie

Kwa yeyote atayeguswa mjini hapa sina kazi,sina ajira wala chochote ambacho chaweza nisaidia hata nitakapopata tatizo Leo hii yote ya yote namshukuru Mungu kwa kunipa afya njema

Kwa yeyote ambae atahitaji kunisaidia au kunijua zaidi kwa ajili ya kunisaidia naomba anitumie ujumbe pm na pia napenda nisome zaidi ya nilipofikia najua kuna watu Mungu kawabariki sana kiuchumi na mengineyo

Ninaomba kama kuna mtu ataguswa kunisaidia naomba anisaidie niwe na ahueni ya maisha kama wengine hii yote kwa sababu sikuwahi kulelewa na wazazi wangu na ndio maana nakosa misingi ya kimaisha kwa sababu sina wa kunishauri ,sina wa kunisaidia

Nawaombeni mnisaidie kwa mwenye uwezo na nia ya kunisaidia ...kumbuka sipendi kuwa hivi nilivyo
 
Mungu atakusaidia mkuu japokua hali kama hiyo tunapitia wengi ndg ila naamini mungu yu pamoja nasi atatenda miujiza kwako na kwetu pia
 
Ukuta wa dhahabu vunja uuze kidogo (jokes)
Wote pia tuna magumu sana sana lakini ni kujibidiisha na naamini kesho itakua nzuri
 
Jamani habari za majukumu,

Naomba niwape historia yangu ya maisha mwenye ushauri anisaidie ndugu zangu.

Iko hivi, Mimi ni kijana wa kiume naitwa Levocatus kwa sasa nipo Dar kwa rafiki yangu nilikuja huku kutafuta uahueni wa maisha lakini mambo yamegoma kabisa na kufikia hatua hii ya kuomba ushauri

Levocatus nimesoma kiasi ni mtaaluma wa afya niliehitimu mwaka Jana kulingana na ajira kuwa ngumu ikabidi nijichanganye kukomaa na kazi yoyote itakayonipa riziki halali lakini hali imekuwa ngumu kufikia hatua ya kukosa kabisa pesa ya kujikimu.

Mimi nilifiwa na wazazi wote wawili pindi nikiwa mdogo, nimekulia kwa ndugu mpaka kuhitimu masomo ikabidi niondoke nije mjini kujitafutia lakini imekuwa ngumu kufanikiwa maake sina mtaji ,sina ajira imefikia hatua nawaza mawazo ambayo sio mazuri imefikia hatua nakata tamaa.

Ninaomba kama kuna mtu anaehitaji mfanyakazi yoyote ambayo ni halali anisaidie plz kama una nyumba ambayo waweza kunihifadhi nikawa ndugu yako wa hiali na kunisaidia angalau nisimame na kujisimamia naomba mnisaidie

Kwa yeyote atayeguswa mjini hapa sina kazi,sina ajira wala chochote ambacho chaweza nisaidia hata nitakapopata tatizo Leo hii yote ya yote namshukuru Mungu kwa kunipa afya njema

Kwa yeyote ambae atahitaji kunisaidia au kunijua zaidi kwa ajili ya kunisaidia naomba anitumie ujumbe pm na pia napenda nisome zaidi ya nilipofikia najua kuna watu Mungu kawabariki sana kiuchumi na mengineyo

Ninaomba kama kuna mtu ataguswa kunisaidia naomba anisaidie niwe na ahueni ya maisha kama wengine hii yote kwa sababu sikuwahi kulelewa na wazazi wangu na ndio maana nakosa misingi ya kimaisha kwa sababu sina wa kunishauri ,sina wa kunisaidia

Nawaombeni mnisaidie kwa mwenye uwezo na nia ya kunisaidia ...kumbuka sipendi kuwa hivi nilivyo
Pole sana kijana mwenzangu Mungu atakusimamia.
 
Back
Top Bottom