Naombeni ushauri ndugu zangu wanajf

Naombeni ushauri ndugu zangu wanajf

fotuki

New Member
Joined
Apr 25, 2014
Posts
4
Reaction score
0
Jamani nina rafiki yangu anafanya kazi kwa mkataba katika chuo flani cha serikali mkoani.
Sasa Mungu amemsaidia kapata kazi ya kudumu serikalini. Tatizo ni kwamba kule alipo yaani mkoani kwenye kazi yake ya mkataba mshahara ni mzuri na maslahi yapo kama , hela ya nyumba, uasfiri n.k. Huku kupya mshahara ni mdogo na hakuna maslahi yoyote ukizingatia na ugumu wa maisha ya Daslam....Uzuri ni kwamba kule mkoani bado hajavunja mkataba.. amekuja jijini kuripoti tuu ndo akakutana na hizo changamoto. Kwakweli kaniomba ni mshauri nikashindwa nianzie wapi?? anaomba ushauri kama aendelee na kazi yake ya mkataba yenye mshahara mzuri na maslahi ya kutosha au kishidashida aje tuu kwenye kazi ya kudumu isiyokuwa na maslahi yyt? nalileta kwenu wadau kwa unyenyekevu wa hali ya juu nikiomba ushauri wenu. MUNGU wa mbinguni awabariki sana.
 
huo mkataba ni wa miaka mingapi? halafu ntakuja kushauri.
 
apige hio kazi yenye hela nzuri,vijana wa kitanzania sasa inabidi tuchange haya masuala ya job security tuache apige as much hela as posible na kama analipwa vizuri na hizo benefit zote that means kazi ni nzuri na anapata experience hata kama mkataba ukiisha still atakuja kupata kazi ingine wala sio isue tatizo la kazi hapa tz sio kwa wenye experience ni kwa fresh graduate ndio wanateseka. mwambie apige hela probably baadae kama ameingiza hela ya kutosha hata baada ya mkataba anaweza acha masuala ya kuajiliwa akajiajiri mwenyewe
 
This is well said no addition?
 
Inategemea huko serikalini anaenda sehemu gani ndugu.Huo mshahara mdogo aliuona kwenye mkataba wala usimtishe,hajiulizi hao ambao wanafanya kazi hapo wanaishi vipi kwa huo mshahara mdogo?!!!

Kuna sehemu zingine serikalini kuna shavu kubwa kuliko private.Cha kufanya hapo atafute mtu ambaye yupo hapo ambapo amepata kazi halafu amuulize masilahi yakoje nje ya mshahara then apime mwenyewe.Au ni pm jina la hiyo wizara au idara then nitakwambia kama ina masilahi au lah.
 
Back
Top Bottom