Naombeni ushauri na mawazo yenu

Naombeni ushauri na mawazo yenu

Hainz_04

Member
Joined
Dec 23, 2019
Posts
49
Reaction score
24
Nina mchumba wangu (GF) ambaye nilianza uhusiano naye O Level 2016, muda huo nipo form 4 yeye akiwa form 3.

Kipindi tunasoma sikuweza kubahatika kufanya naye mapenzi kwa sababu shule yetu ilikuwa na sheria kali sana. Binti alikuwa muoga sana; nilimpata siku karibia na kufanya mitihani.

Shule niliyosoma haikuwa boarding ila wanafunzi wa kidato cha nne walitakiwa kuishi shuleni mtihani wa mwisho ukikarbia.

Kwakuwa yeye alikuwa anaishi mbali aliomba pia ahamie shuleni akawa ameruhusiwa. Baada ya prepo au wakati wa prepo tulikuwa tnakutana chemba tunachezeana adi kila m1 anaridhika.

Mchezo ulienda hivyo hadi nkamaliza shule. Kipindi nahitimu hakuwa na simu hivyo tukapotezana coz mimi nilienda mkoa mwingine kuendelea na masomo ya kidato cha 5&6.

Nikiwa mkoani nilianza kusikia skendo anatoka na fulani; haikuwa mtu mmoja, kama wa3 hivi. Nilimtoa akilni yani nkamsahau.

Siku moja nikiwa kidato cha tano iliingia namba mpya kuuliza akasema ni yeye. Tulichat sana nikamgusia habari nilizosikia kuhusu yeye, alikana na kusema hakuwai kufanya hivyo na hajawahi kufanya mapenzi na mtu yoyote. Ikumbukwe muda ananitafuta alikuwa amemaliza kidato cha nne 2017.

Kuthibitisha, akasema yeye ni bikra. Siku zilisonga mapenzi yetu yakachanua upya.

Tulichati sana (sex chat) japo alikuwa hujui ila nlimfundisha jinsi ya ku-reply. Alkuwa muoga sana kutamka tusi la aina yeyote coz amelelewa katika misingi ya dini. Akiwa form 4 aliwahi kuwa katika shirika la Utoto wa Yesu (Wakatoliki wanajua).

Matokeo yalivyotoka alpta division 3 ya 24, hivyo hakuchaguliwa kuendelea cha 5&6, zaidi alpata kuchaguliwa Chuo cha Ualimu Pwani.

Mimi nilikuwa Kilimanjaro, tulipanga siku anaenda chuo aje K'njaro; alifnkiwa kuja na kweli alkuwa bikra (altumia nauli yake) zaidi niligharamika chumba na chakula.

Mwezi wa 6 2019 tulipanga tusafiri wote, hivyo alikuja Moshi tukalala wote then safari.

Tarehe za mwishoni Mwezi wa 8 altakiwa kurudi chuoni hivyo akawa ameniacha; ilpofika mwezi wa kumi nami nkaenda chuoni kwa mwaka wa kwanza, Mwezi wa 12 mjomba wake aliye Zanzbar (mjomba ake kweli) alimuomba likizo ya Mwezi wa kumi na 2 aende; alintaarifu mapema. Kweli ilpofka mwezi wa12 akawa ameenda; amekaa siku chache akanipa taarifa kuna kuna mtu anataka kumuoa ila amekataa na amemjibu ana mchumba (ambaye ni mimi).

Jamaa kuona vile akamshirikisha mjomba ili amshawishi binti lakini jibu likawa hivyo hivyo kuwa ana mchumba.

Mjomba alimjulisha mama yake na binti ili amshawishi, mama amejaribu kumshawishi mwanawe akubali lakini binti msimamo ni ule ule kuwa ana mchumba (mimi).

Akiniuliza mimi kuhusu kuchumbiwa kwake na future eti mie namjibu AKUBALI AOLEWE; huwa anakasirika sana nikmjibu vile; akisema hawezi bila mimi.

Kiukweli ni msichana mzuri kwa macho yangu, ananitii haswa, ana hofu ya Mungu; amekua msaada kwangu, yupo karibu nami. Ananipenda pia nampenda sana.

Anamalizia certificate ya ualimu, ana 20yrs, mimi 23yrs.

Kama ingekuwa siyo shule na muda wa kuoa ungekuwa umefika, basi bila kupepesa macho angekuwa mke wangu. Shida inakuja mi bado mwanafunzi na kozi nayosoma ina 4 yrs.

Binti nampenda na ukiangalia tayari amektaa kuolewa kwa ajli yangu. Kinachonipa shida ni shule; japo anasema yupo tayar kunisubiri na yupo tayari kwa chochote ila mwisho tuwe wote.

Ni binti mwema sana kwangu

Naombeni ushauri. Jibu gani sahhi, mawazo gani sahihi nimpe au nimwambie ili baadaye nisije kulaumiwa naye au mwenyewe nisije jilaumu kwa siku za mbeleni?

Nipo dilemma kwa majibu ninayompa.

NOTE: Ni msichana wa aina yake; nimejhusisha na wengi ila yeye yu tofauti katika wengi -- nampenda.

Asanteni.
 
Utakuja kumpoteza na hutoamini itakuchukua muda kurecover. Utamchelewesha, je utamuoa? Umejipangaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo tayari nae yupo tyr kwa chcht shida ye n mwanachuo anagraduate mwezi wa5 mm n mwanachuo mwaka wa1 na kozi nayosoma ina 4yrs na binti hataki kuolewa.

Yaani ameshakataa kuolewa na yule mtu alomchumbia kwa ajili yangu.
 
Unajua ni kosa na aibu watu wazima kumsahauri maswala ya mapenzi mtoto mdogo ambae inabidi awe shule kuandaa future yake
ubaya inakuja wapi mkuu binti ana20yrs afu jamaa alienda direct kua anahtaji amuoe na yupo tyr kumsbr amalze chuo
 
mazoea yana tabu mkuu sorry kama unakereka
Ni kufuata mkumbo na kujiendekeza kuwa ukiandika namna hiyo utaonekana vizuri na unaenda na muda, kumbe siyo.

Wakati unafundishwa kiswahili shuleni, hukufundishwa kuandika namna hiyo. Ndio maana kulikuwa na kipengele cha Imla kwa lengo la kupima uandishi sahihi wa maneno ya kiswahili au kiingereza
 
Balvejmumt, hili swala hadi nalileta humu nmekaa nalo sana datz nmelifkisha apa coz apa kila m1 ana upeo tofaut wa kufkiria kitachonfaa basi ntachukua.
 
Achana nae, block namba zake,hakikisha hawez kukupata.
Endelea kusoma,
Yajayo yatafurahisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka nampenda. Assume ndiyo wewe binti unampenda nawe anakupenda hadi mwenywe unajua kabisa hapa unapendwa.

Nshawai mtamkia mara kibao tuachane tukigombana ila utaombwa msamaha hadi huruma afu kosa ni lako.

Umeishiwa umepigika akijua anaktoa ata ten usogeze maisha kwao awako vizuri ata kwetu ila kwa ajili angu anajtoa.

Nishawahi kuibiwa simu nilipomjulisha nlitumiwa hela ya kununua simu na hela alidangnya kwao sabu nlmbana wap ameipta.

Akanielza akantmia adi sms ya muamala

Naumia kumuacha apotelee.

Naumia kama itakuwa ndivyo svyo vle sote tunatamani. Maamuzi yote ya mikononi mwangu

Na ntajlaumu/ntaumia/ntalaumiwa/ntamuumiza mwenzgu kwa chchte kibaya kitakachotokea siku za hivi usoni
 
uandsh hubadlka kwa kutgmea hadhira na muktadha ELEWA HIVYO USKAZE FUVU ndo mana barua ya kirafiki haiwezi kuwa na muundo sawa na barua ya kiofisi
Dogo, kwa kuwa wewe ndio unayekaza fuvu. Chagua moja kati ya
1. Kujibidisha kwenye masomo na kuacha mapenzi(bado upo mdogo sana)

2. Fuata mapenzi na uache masomo maana bado haujajua umuhimu wa kusoma.
 
Dogo, kwa kuwa wewe ndio unayekaza fuvu. Chagua moja kati ya
1. Kujibidisha kwenye masomo na kuacha mapenzi(bado upo mdogo sana)

2. Fuata mapenzi na uache masomo maana bado haujajua umuhimu wa kusoma.
OK nashukur japo ushaur wako si ule nauhtj KICHWA PANZI ..!!!!Yaani haumatch na mada tajwa..asante
 
OK nashukur japo ushaur wako si ule nauhtj KICHWA PANZI ..!!!!Yaani haumatch na mada tajwa..asante
Wewe bado mdogo huwezi kupambanua mambo makubwa, unalazimisha tu. Ushauri wangu unajitosheleza ni juu yako kufuata au kuacha.

Umeoneshwa tundu la choo unataka usaidiwe pia kuvua suruali/boksa/bukta...??
 
mwambie kama kweli anakupenda basi akubali aolewe na huyo aliyemchumbia.
 
Hainz_04, Kama kweli unampenda na una mpango wa kuja kumuoa bhasi mwambie akomae na msimamo wa kukusubiria lakinii KAMA UNAONA HUWEZI KUJA KUMUOAA bhasi mpotezee mapema atakata tamaa tu na itakuwa umemsaidia kuliko kuendelea kumkomalia kumbe sababu ni favor anazokupa na upendo wake kwako japo kuwa makini wanawake wanachoka mapema kusubiri wakipata mtu wa uhakikaaa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cosmasjulius, kinachonpa waswas mmii Ni hiyo 4yrs kwamba atasettle kwangu tuu as nko men pke ake nlovtiwa nae najua awezi kataaa wte kingne mm bnafs miaka m4 naeza bdl mindset angu hapo ndo tatizo linapoanzia ila nampenda
 
Wewe bado mdogo huwezi kupambanua mambo makubwa, unalazimisha tu. Ushauri wangu unajitosheleza ni juu yako kufuata au kuacha.

Umeoneshwa tundu la choo unataka usaidiwe pia kuvua suruali/boksa/bukta...??
haya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom