B big_in JF-Expert Member Joined Sep 26, 2013 Posts 4,507 Reaction score 1,105 Jul 14, 2014 #21 Hekima bora said: Nina rafiki ameolewa na ana mtoto mmoja. Tatizo ni anamfumania mme kila mara, ijumaa mme kaenda kazini karudi jumamosi . Mke anataka kuondoka. Nimshaurije? Click to expand... Bwamdogo sijui bibi kizee your user name.Wewe kila kitu kina muda wake sasa achane nae wapo wengi atakufa na naukimwi
Hekima bora said: Nina rafiki ameolewa na ana mtoto mmoja. Tatizo ni anamfumania mme kila mara, ijumaa mme kaenda kazini karudi jumamosi . Mke anataka kuondoka. Nimshaurije? Click to expand... Bwamdogo sijui bibi kizee your user name.Wewe kila kitu kina muda wake sasa achane nae wapo wengi atakufa na naukimwi
mapengo junior JF-Expert Member Joined Jun 28, 2011 Posts 1,135 Reaction score 276 Jul 14, 2014 #22 kitamu kula na nduguyo ila ucjue maana inauma sana but mapenzi hayashauriki maana hatujui utamu wao wakiwa kitandani
kitamu kula na nduguyo ila ucjue maana inauma sana but mapenzi hayashauriki maana hatujui utamu wao wakiwa kitandani
Dena Amsi R I P Joined Aug 17, 2010 Posts 13,080 Reaction score 4,275 Jul 14, 2014 #23 Mwambie aache kutengeneza mazingira ya kumfumania Mumewe hiyo ni tabia mbaya sana haifai katu hata simu yake asiguse atakufa na BP
Mwambie aache kutengeneza mazingira ya kumfumania Mumewe hiyo ni tabia mbaya sana haifai katu hata simu yake asiguse atakufa na BP