Naombeni ushauri mapenzi yanenishinda!

Naombeni ushauri mapenzi yanenishinda!

5997

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2019
Posts
513
Reaction score
1,209
Wasalaam
Wakuu nimekaa na kutafakari yani naona kama vile mapenzi ni kupoteza muda tu kwa vitu vya kipuuzi,
Full of stress
Kupoteza hela
Kupoteza muda
Kukosa amani
Yaani mimi nahisi mapenzi kwangu umekua ni upuuzi mbaya zaidi siku hizi madada mengi ni majinga, ukilipenda lenyewe linajua cha kukupa ni sex tu halina jipya tena hata ushauri tu halina,
Unajikuta mwanaume ndio unaloose vitu vingi kwaajiri ya mtu asiyejielewa
Jamani naombeni ushauri nifanyeje mimi ili nisahau kabisa kuhusu ishu za mapenzi,
Waschana siku hizi hamna asilimia kubwa ni vimalaya tu na vidangaji
 
Kwan kujihusisha na mapenz lazima upoteze hela?

Ndiyo tafuta hela zako ila wanawake hawako ivo.
 
Wasalaam
Wakuu nimekaa na kutafakari yani naona kama vile mapenzi ni kupoteza muda tu kwa vitu vya kipuuzi,
Full of stress
Kupoteza hela
Kupoteza muda
Kukosa amani
Yaani mimi nahisi mapenzi kwangu umekua ni upuuzi mbaya zaidi siku hizi madada mengi ni majinga, ukilipenda lenyewe linajua cha kukupa ni sex tu halina jipya tena hata ushauri tu halina,
Unajikuta mwanaume ndio unaloose vitu vingi kwaajiri ya mtu asiyejielewa
Jamani naombeni ushauri nifanyeje mimi ili nisahau kabisa kuhusu ishu za mapenzi,
Waschana siku hizi hamna asilimia kubwa ni vimalaya tu na vidangaji
Mkuu kazi ya mwanamke ni kukuzalia watoto tuu vituvingine hivyo niziadatu wewe fetua tofali zakutosha ukishamaliza ukiona haeleweki wewe fukuza bak na watoto wako ulee mwenyewe ndio utajuwa kuwa mwanamke ana umuhim
 
stop saying true love doesn't exist.have u dated me?!!
🙄🙄 nani sijui alisemaga hivyo.
 
Pole sana mkuu inaonesha huwa unapata pasua kichwa,,, jipe muda kwanza baadae ukiona unaweza kuingia tena katika mahusiano basi jitahidi kupata yule ambaye unaona mtaendana na kuvumilia,, ukitulia wapo wanawake/ wanaume wasiopenda makuu kabisa. kila la kheri
 
Wasalaam
Wakuu nimekaa na kutafakari yani naona kama vile mapenzi ni kupoteza muda tu kwa vitu vya kipuuzi,
Full of stress
Kupoteza hela
Kupoteza muda
Kukosa amani
Yaani mimi nahisi mapenzi kwangu umekua ni upuuzi mbaya zaidi siku hizi madada mengi ni majinga, ukilipenda lenyewe linajua cha kukupa ni sex tu halina jipya tena hata ushauri tu halina,
Unajikuta mwanaume ndio unaloose vitu vingi kwaajiri ya mtu asiyejielewa
Jamani naombeni ushauri nifanyeje mimi ili nisahau kabisa kuhusu ishu za mapenzi,
Waschana siku hizi hamna asilimia kubwa ni vimalaya tu na vidangaji
Tafuta uzi wangu nilioandika jana
 
Tumia ile style ya secondary chakula chako weka mafuta ya taa kidogo ili usipate hamu ya kugegeda
Sijui kama hii inafanya kazi kweli
 
Ukiona mapenzi yamekushinda achana nayo fanya vitu vingine
 
Wasalaam
Wakuu nimekaa na kutafakari yani naona kama vile mapenzi ni kupoteza muda tu kwa vitu vya kipuuzi,
Full of stress
Kupoteza hela
Kupoteza muda
Kukosa amani
Yaani mimi nahisi mapenzi kwangu umekua ni upuuzi mbaya zaidi siku hizi madada mengi ni majinga, ukilipenda lenyewe linajua cha kukupa ni sex tu halina jipya tena hata ushauri tu halina,
Unajikuta mwanaume ndio unaloose vitu vingi kwaajiri ya mtu asiyejielewa
Jamani naombeni ushauri nifanyeje mimi ili nisahau kabisa kuhusu ishu za mapenzi,
Waschana siku hizi hamna asilimia kubwa ni vimalaya tu na vidangaji

wewe naona maisha yatakishinda sasa hivi. yaani kweli mwanaume mzima unategemea ushauri toka kwa mwanamke amabe sio mama yako mzazi...loh!!!!
ushauri wa maisha ni kwa mama mzazi na masela wanawake hao kazi yao ni kukupa wewe burudani kitandani uenjoy basi. na usilete ujinga wa kuwapend utajinyonga soon.
 
Kuchukua ushauri wa kukujenga ili usirudi nyuma katika maamuzi yako..
 
Attachments

  • 1BEC512B-A9E3-411A-86A5-B2F0E43866D4.MP4
    721.8 KB
Back
Top Bottom