Jamani kuna msichana nilimtongoza nikiwa shule ya msingi lakini hatukufika mwafaka kwa kuwa tulivyomaliza shule kila mtu aliendelea na secondary na hatukuwa na mawasiliano kila mtu akawa na issue zake. Baadae alitafuta namba yangu ya cm nikiwa form5 nikawa naye kwa mda lakini baadae tuliachana kwa kile alichodai kuwa simjali, ila ni kwa sababu ya shule. Alirudia kunitafuta nilipomaliza form6 tukaka tukaongea mengi akaniweka wazi kuwa ana mtoto teyari na aliyezaa nae mtu mwenye mke, anadai ilitokea bahati mbaya na mtoto alichukuliwa na babake, nikiwa chuoni amenitafuta tena tukawa tunachart akanielezea stori zake zote na wanaume aliokuwa nao yeye akadai ilikuwa ni harakati ya kumtafuta anayemfaa maishani. kaniambia ananipenda, na Akaahidi hatarudia ujinga wake wa nyuma nikambadilishia na laini ya cm, mpaka sasa tunapanga tuje kuoana. Ila najiuliza itakuwaje?na huku teyari ana mtoto ingawa alichukuliwa na baba yake, kitu kingine nalingana naye umri. Naombeni ushauri wenu wanajamii km ni busara kuwa nae.
mmh huu si ushauri mzuri bwana mkubwa,piga chini huyo sio mwaminifu, unajua mahawala huwa hawaachani katu!!
Jamani kuna msichana nilimtongoza nikiwa shule ya msingi lakini hatukufika mwafaka kwa kuwa tulivyomaliza shule kila mtu aliendelea na secondary na hatukuwa na mawasiliano kila mtu akawa na issue zake. Baadae alitafuta namba yangu ya cm nikiwa form5 nikawa naye kwa mda lakini baadae tuliachana kwa kile alichodai kuwa simjali, ila ni kwa sababu ya shule. Alirudia kunitafuta nilipomaliza form6 tukaka tukaongea mengi akaniweka wazi kuwa ana mtoto teyari na aliyezaa nae mtu mwenye mke, anadai ilitokea bahati mbaya na mtoto alichukuliwa na babake, nikiwa chuoni amenitafuta tena tukawa tunachart akanielezea stori zake zote na wanaume aliokuwa nao yeye akadai ilikuwa ni harakati ya kumtafuta anayemfaa maishani. kaniambia ananipenda, na Akaahidi hatarudia ujinga wake wa nyuma nikambadilishia na laini ya cm, mpaka sasa tunapanga tuje kuoana. Ila najiuliza itakuwaje?na huku teyari ana mtoto ingawa alichukuliwa na baba yake, kitu kingine nalingana naye umri. Naombeni ushauri wenu wanajamii km ni busara kuwa nae.
Kweli kabisa uliosema, na mimi kwa kuwa napenda tende basi nakupa point hapa.ukishakua na doubt na partner wako that means huna uhakuka na maamuzi ya moyo wako,mimi nakushauri usiwe na haraka hebu subiri kidogo mpaka moyo wako utakaporidhia pasip kushauriwa na mtu au kuambiwa
Piga chini huyo sio mwaminifu, unajua mahawala huwa hawaachani katu!!
Unavyojieleza inaelekea kama wewe bado ni kijana. Kwa nini usitafute kitu brand new badala ya kukaa unang'ang'ana na Used? Tumia vizuri ujana wako.