Na akicheza wanaweza hata kumrestisha in peace akizubaa.Hapana mkuu, toka hapo....huyo msichana na ndugu zake ni wezi....inaelekea hujiamini, huamini unaweza kupata mpenzi tena ndio maana uko desperate kujenga uhusiano hewa, jiamini mkuu,kila pipa na mfuniko wake,utapata anayekupenda na ufupi wako....ukiendelea na huu uhusiano jua utakaribisha shari katika ndoa yako, haitakua na amani ooohhhhoooo atakuletea hadi wanaume ndani..
In short huyo hakupendi, chukua mali zako fukuzia mbali huyo acha mazoea naye. Tafuta mwingine, huyo anakuigizia.Asante ndugu yangu dah
Ila mbona anaonesha dalili kama ananipenda hivi.
Na cha ajabu uo ufupi anao ni tukana yeye si mrefu kwangu sema kako kembamba mimi Nina mwili kidogo.
Wewe exposure yako ya huko mbele bado haujafuta upumbavu wakondugu zangu naomba ushauri
Mimi ni kijana ambaye nina miaka 23 na ishi Canada
Kuna kipindi nili kutana na dada fulani fb uyo dada tuliwai kusoma wote shnyesha dharau na kiburi?
Nimuongo huyu, watu waliotolewa kijijini, wata demand vipi dollar?.Acha uongo Dogo, umekunywa chai lakini?