Naombeni ushauri kuhusu Mapenzi

Unajua jamaa sijamwelewa. kama unakazia it means umemuelewa em nifafanulie kamaanisha nn tafadhal.
usiingie mapenzi kichwakichwa kwa sasa uwezo wako bado mdogo kuhimili mikiki mikiki yake..
 
Deep pond mshauri huyu mwamba maana ww ndo una uzoefu na izi mambo
 
usiingie mapenzi kichwakichwa kwa sasa uwezo wako bado mdogo kuhimili mikiki mikiki yake..
Aaaaah sawa mkuu..na je kilichofanya uwezo wangu uonekane mdogo ni umri wangu wa 25 au write up. Namaanisha jins nilivyoandika uzi...?
 
Kwanini usisome tu kwanza maana hata mapenzi inaonekana huelewi chochote maskini wa Mungu
 
Jibu tosha... tafta hela bwamdogo hao wapo tu
Ahahahaha mwenyewe nilihisi hivyo...Sema mm nisingependa kupendwa kwa ajili ya pesa., I WANT TO BE LOVED FOR WHO I AM. na hata nikizipata siwezi kuzitanguliza katika mapenzi..IF I DON'T DESERVE YOU AT MY WORST THEN YOU DON'T DESERVE ME AT MY BEST.
 
Kwanini usisome tu kwanza maana hata mapenzi inaonekana huelewi chochote maskini wa Mungu
Ahsante mkuu kwa neno lako. Lakini ningependa kujua kilichokufanya ufikie mkataa huu(conclusion). Yaani ionekane sijui chochote kuhusu mapenzi.
 
Ahahahaha mwenyewe nilihisi hivyo...Sema mm nisingependa kupendwa kwa ajili ya pesa., I WANT TO BE LOVED FOR WHO I AM. na hata nikizipata siwezi kuzitanguliza katika mapenzi..IF I DON'T DESERVE YOU AT MY WORST THEN YOU DON'T DESERVE ME AT MY BEST.
Trust me mapenzi ya kina angelo na inna sijui kina marichui ni tamthilia tu zile dont spin them in2 reality... u sound like an amateur in this field. Ukiwa na pesa ata kwa wazazi wako utakua favourite, utapendwa nakila mtu

Nyongeza ni kua ata ukimpata mnaependana sanaa mtazoeana akili ya binadam imeumbiwa kuzoea.
 
For sure bro i am inexperienced in this field na huyu ndo angekuwa first LOVE.
 
sasa sisi tukushauri nini sasa mkuu, aloo hebu kuwa serious na mpenz au kama hauwez kuwanae karibu piga kimya tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…