Ukiona hajibu jua kuna muhuni anamtoomba au ulitaka atombwe huku anazijibu meseji zako na anajibu majibu mafupi sababu anakua ameshamaliza kutombwa, wewe koma na life lako, mbon madogo mnakua vibaya hivi piga chini tafuta mtu mwingine acha kua na akili mgandolakini sasa ni kama hayupo interested, wakati mwingne hajibu au majibu mafupi mno, yaani imekuwa kama najipendekeza kwake.
Mahusiano ya kuforce ni mabaya sikuzote anayeforce ndo huwa muhanga wa stress za mapenzi baadayelakini sasa ni kama hayupo interested, wakati mwingne hajibu au majibu mafupi mno, yaani imekuwa kama najipendekeza kwake.
Nishamaliza mkuu... nashukuru mkuu kwa kunistua nsije waste time yangu ahsante sana..Mahusiano ya kuforce ni mabaya sikuzote anayeforce ndo huwa muhanga wa stress za mapenzi baadaye
Hizo ishara sio za kuzipuuza huyo hana mpango na wewe. Shtuka kijna usipoteze muda wako hapo
Masomo ulishamaliza?
Ahsante mkuu kwa mchango wako hasa hapo uliposema NIKOMAE NA LIFE langu..Ukiona hajibu jua kuna muhuni anamtoomba au ulitaka atombwe huku anazijibu meseji zako na anajibu majibu mafupi sababu anakua ameshamaliza kutombwa, wewe koma na life lako, mbon madogo mnakua vibaya hivi piga chini tafuta mtu mwingine acha kua na akili mgando
Mkuu I really appreciate kuwa unajali juu ya haya na ungependa kunisaidia lakini naona ni kama Sharon hana feelnz kwangu na kama wadau walivyoshauri i better let her Go.Nipe mawasiliano ya Sharon nipo kilimanjaro pia.Nimjenge kuhusu wewe na kukuwekea misingi mizuri kuelekea ndoto zako na zake.Pia nitakusaidia kujua mwenendo wake.
Just for good, don't misinterpret me lakini.
Yes komaa na life lako yaan tafuta Pesa ujenge maisha huyo kashapata wa kumsugua kiarage uko alipo wewe tafuta wa kwako acha kuishi at the past cause past is gone for real, huyo haupo kwenye akili yake level zako sio level zake kashakuacha mbali ndio maana anakupotezea kashakutana na idadi kubwa ya wanaume mpaka sasa na kashapigwa sana miti, futa mafaili yake kwenye ubongo wako format kabisa disk space iwe empty yaan asiwepo hata kwenye sehemu ya memory yako ya kumbukumbu huko aliko mwenzio anatombeka tu wakati wewe unamuwaza, una akili wewe?Ahsante mkuu kwa mchango wako hasa hapo uliposema NIKOMAE NA LIFE langu..
WELL SAID MKUU., hata namba yake nataka kufuta kwa simu yangu..Yes komaa na life lako yaan tafuta Pesa ujenge maisha huyo kashapata wa kumsugua kiarage uko alipo wewe tafuta wa kwako acha kuishi at the past cause past is gone for real, huyo haupo kwenye akili yake level zako sio level zake kashakuacha mbali ndio maana anakupotezea kashakutana na idadi kubwa ya wanaume mpaka sasa na kashapigwa sana miti, futa mafaili yake kwenye ubongo wako format kabisa disk space iwe empty yaan asiwepo hata kwenye sehemu ya memory yako ya kumbukumbu huko aliko mwenzio anatombeka tu wakati wewe unamuwaza, una akili wewe?
Yes good movement mkuu,WELL SAID MKUU., hata namba yake nataka kufuta kwa simu yangu..
Nipe namba hiyo nikutunzie, you never know.WELL SAID MKUU., hata namba yake nataka kufuta kwa simu yangu..
Mtu mmesoma darasa moja, Inamaana mnalingana umri, kwahiyo huyo siyo saizi yako, kashazeeka huyo, piga chini.Tuendelee nafasi hapo juu haikutosha.
Sasa nimejaribu kuanzisha mazungumzo ambayo yatamfanya afunguke angalau nijue ni mtu wa aina gani.. lakini sasa ni kama hayupo interested, wakati mwingne hajibu au majibu mafupi mno, yaani imekuwa kama najipendekeza kwake.
Sasa nipo nawaza hapa nifanye nn! Binafsi niliwaza moja niruhusu muda upite angalau mwezi au miwili niwe nawasiliana nae hivihvi labda atacatch up along the way au niupokee UKWELI MCHUNGU nikubali kuwa sio fungu niendelee na maisha mengne
Zingatia sijamtongoza nilitaka tufanye urafiki nijue character yake ndio nione kama atanifaa. Pia mimi habari za chura sijui mrembo sijali sana cha muhmu kwangu ni CHARACTER ya mtu.
Wakuu naombeni ushauri wa ziada na mapendekezo ya nini kifanyike.
Natanguliza shukrani.
Mkuu umenena vema lakini sioni kama ni sahh kutongoza mtu ghafla bin vuu.. na kwa response yake naona kama hayuko interested na mm kabisaaaa.Mtongoze akukatae usonge mbele na life lako.
Hii mambo ya kiwaki ya urafiki ni shule ya sekondari huko, huku duniani tunakemea pepo life linaenda
Sasa kama unaona hv unangoja nin? Sepa mapema with your dignity intactMkuu umenena vema lakini sioni kama ni sahh kutongoza mtu ghafla bin vuu.. na kwa response yake naona kama hayuko interested na mm kabisaaaa.
Ndo ukweli mchungu.. kwenye ndoa tunapenda tuliowapataMkuu kwel??? kama nisipotumia akil s ntaangukia yeyote jambo ambalo sitaki..
NAKAZIA TU.Nimechukua umri wakanikajumlisha ulicho andika nikagawanya kwenye akili yako jibu ni acha kujihusisha na mapenzi
Kwa dalili hizo haikuwa na haja ya kuomba ushauri, ni kupiga chini tuMkuu UMRI NI NAMBA TU..