Mambo muhimu kunote:-Habari za leo ndugu na dada zangu wa hapa jukwaani. Natumai nyote wazima. Hongereni kwa walioudhuria ibada jumapili. Huku kwetu leo tumejifunza JINSI TUNAVYOWEZA KUMWIGA MUNGU WA REHEMA, namna moja wapo ni kuwasamehe kutoka moyoni waliotukosea.
Sasa niende kwenye mada. Mimi ni kijana wa miaka 25, na ni mtu anayeamini katika urafiki kwanza kabla ya mahusiano ya kimapenzi. Hivyo ninaona kuwa muda huu nitafute rafiki wa kike tuwe marafiki tufahamiane vema na kama hali zitaruhusu tuingie kwenye mahusiano. Sasa kuna dada mmoja anaitwa Sharon huyu nimekua nae na tumesoma shule moja ya msingi na tulikuwa majirani enzi hzo, sema baadae walihama na tumepotezana muda sana recently ndo nimepata mawasiliano yake,sasa huyu ndo niliona ananivutia, lakini mimi sipendi kuongozwa na hisia napenda kutumia akili pia na kuface reality.Sasa kwa kuwa muda umepita nilitaka kumjua kidogo,si mnajua kuwa watu huwa tunabadilika.
Changamoto iliyopo tupo mikoa tofauti nipo kagera yeye yupo kilimanjaro(moshi).
Mkuu kwel??? kama nisipotumia akil s ntaangukia yeyote jambo ambalo sitaki..Mambo muhimu kunote:-
1. Fimbo ya mbali haiui nyoka
2. Wakati unangoja likomae wenzako wanalila/liwa na chumvi
3. Mume/mke hutokea tu dont worry
4. Mapenzi hayapo kwenye ubongo. Siku ukipenda ndo utajua akili yako haina nafasi.
5. Itaendelea...
Kama huna kipato Cha kueleweka kuendesha long-distance relationship ni Bora kuacha, unajipotezea Muda TU mkuuTuendelee nafasi hapo juu haikutosha.
Sasa nimejaribu kuanzisha mazungumzo ambayo yatamfanya afunguke angalau nijue ni mtu wa aina gani.. lakini sasa ni kama hayupo interested, wakati mwingne hajibu au majibu mafupi mno, yaani imekuwa kama najipendekeza kwake.
Sasa nipo nawaza hapa nifanye nn! Binafsi niliwaza moja niruhusu muda upite angalau mwezi au miwili niwe nawasiliana nae hivihvi labda atacatch up along the way au niupokee UKWELI MCHUNGU nikubali kuwa sio fungu niendelee na maisha mengne
Zingatia sijamtongoza nilitaka tufanye urafiki nijue character yake ndio nione kama atanifaa. Pia mimi habari za chura sijui mrembo sijali sana cha muhmu kwangu ni CHARACTER ya mtu.
Wakuu naombeni ushauri wa ziada na mapendekezo ya nini kifanyike.
Natanguliza shukrani.
Mkuu nathamini sana kwa ushaur wako, bora niachane nae mapema mnoooo lisije nikuta jambo kama usemavyo.!Kama huna kipato Cha kueleweka kuendesha long-distance relationship ni Bora kuacha, unajipotezea Muda TU mkuu
Ukilazimisha sana
Atakutumia kiuchumi afu utaleta Uzi mwngn ukilalamika kala vyako kakusaliti.
Huyo mwanamke hana feelings na ww, acha kulazimisha mambo, litakukuta jambo