Naombeni Ushauri kuhusu hii interview

Nimecheki mkuu..hakuna
Halafu interview walisema Ni in person
Kinachonshangaza nlpompigia kaniambia we will notify you the location details through email ila Hajatuma Sasa...au kutingwa Kazi?
Okaay.
Ushauri wangu, kama ningekuwa ndo wewe ningechill tu. Hata kama amejisahau, j3 akija kushtuka hawawezi kukukurupua tu na wanajua upo Dar... Unless hiyo position tayari wamemuandalia mtu wao, in that case hata kama ungekua umeenda bado ingekua kazi bure tuu.
Hayo ndo mawazo yangu mkuu.
 
Tatizo Ni kwenye process zote hawajauliza Niko wapi..
Swali lililoulizwa Tu Ni Are you available to work in Mwanza?nikajibu yes
 
Piga tena simu, Msumbue, remind.. this people wako busy,
 
Nitasema kulinga na experience yangu nilivyoishi na wazungu Zanzibar.

Kama kweli wamekuita interview na unauwezo wa kwenda nenda physically... Wanzungu huwa hawana tabia ya kumutumia MTU ujumbe Mara mbili mbili...kama unaweza fika nenda...pia hawanaga nepotism.. Kama haujui haujui tu..ila kama umefahuru watakuchukua...Go Go Go Go mzee..kama uchumi upo.
 
Npo Kwa basi
 
Mkuu ...nmeshaitwa interview Za matapel kibao sijaenda.
Hawa jamaa nimewafanyia research ya kutosha.
Wana official email,official website
Wana linked in pages.
Inshort Hawa Ni watu wa australia.nimewafatilia kuanzia vyuo waliposoma mpaka Activity zote wanazofanya bongo.
Kampuni nmelifuatilia mpaka products zake nkajifanya customer.

Sasa kampuni Ni la wazungu watatu. Huyu nlieongea naye Ni mmoja wa board of 3 directors
𝑵𝒊𝒑𝒐 𝒎𝒘𝒂𝒏𝒛𝒂 𝒉𝒂𝒑𝒂!
𝒗𝒊𝒑𝒊 𝒖𝒎𝒆𝒊𝒕𝒘𝒂 𝒏𝒂 𝑲𝒂𝒎𝒑𝒖𝒏𝒊 𝒈𝒂𝒏𝒊 𝒏𝒊𝒌𝒖𝒔𝒂𝒊𝒅𝒊𝒆 𝒌𝒖𝒇𝒂𝒏𝒚𝒂 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒂𝒓𝒄𝒉?

𝒏𝒊 𝒉𝒊𝒊 𝒚𝒂 𝒎𝒂𝒅𝒊𝒏𝒊 𝒊𝒍𝒊𝒚𝒐𝒌𝒐 𝒏𝒚𝒂𝒌𝒂𝒕𝒐 𝒊𝒏𝒅𝒖𝒔𝒕𝒓𝒊𝒂𝒍 𝒂𝒓𝒆𝒂?

𝒂𝒖 𝒊𝒍𝒆 𝒊𝒍𝒊𝒚𝒐𝒌𝒐 𝒎𝒌𝒖𝒚𝒖𝒏𝒊?
 
Wasalaam wakuu.
Mimi niko dar
Kuna kampuni ipo Mwanza niliomba Kazi online...
Wakanipa mitihani migumu na technical, nkafanya,,nkafaulu.
Sasa baadaye(jumatano iliyopita) executive director mwenyewe akanicheki email akaniambia thank you for your answers..akaniuliza kama ntakuwa tayari Kwa interview Juma3 tar 26
Nikakubali
Ila nilipojibu ile email kuconfirm hajanijibu mpaka leo.
Alhamisi Nikamtumia Tena email kumuuliza interview itafanyikia wapi hajajibu.
Jana ijumaa nkampigia akapokea(Ni mzungu) nkamuelezea Kila kitu akasema okay ntakutumia details kuhusu location ya interview through email.
Lakini mpaka Sasa Hajatuma.
Interview Juma3
Najiuliza wazee nijitungue niende Tu iyo kesho Mwanza ili jumatatu niwaibukie ofisini au vipi?

Au Ni njia ya kupunguza watu wameitumia?
Nifanye Nini wakuu?
Hapo cha msingi usiende ila kila baada ya siku tatu tatu mpigie simu kumuuliza. Msumbue tu kwa njia ya simu hadi kieleweke hata kama hiyo tarehe imeshapita
 
Wakuu Iko Hivi...Mrejesho:
Nilienda j2 Mwanza..Ile nipo kwenye basi Mida ya saa 11 ikaingia Email
Interview invitation Ni J3, venue Ni Masaki kwenye Cafe and Restaurant moja hapo Dar esalaam.
Nikamwambia Kuwa Alipochelewa kujibu nilichukua uamuzi wa kwenda Mwanza kwahyo nafika Mwanza leo.
Hakunijibu ila Jana j3 nkampigia Na kumwandikia email anipe maelekezo akaniambia 'let me think about it and get back to you asap'
So nikasubiri kimya Tena ila nikafika kwenye kiwanda nkamuulizia nkaambiwa kaondoka juzi(jmosi)kwenda Dar.
Leo asubuhi Tena nkampigia nkwamwomba maelekezo akaniambia Rolf(managing director,mmoja Kati ya board ya màdirector watatu)atanicontact aniambie time and location for interview leo mchana.
Lakini mchana huyo Rolf kanitafuta kaniambia Leo alikuwa tight kesho saa3 tukutane kiwandani.

NB:Hawa wazungu nimewafatilia details zao online mpaka sura zao nazijua Na leo kipindi nafika kiwandani nilimuona huyo Rolf anatoka Na gari,tukapishana getini
Chai
 
😂😂😂😂 Pole sana na hongera. Ukiwa huko sato City pambana nao hadi mwisho
 
Back
Top Bottom