Naombeni Ushauri kuhusu hii interview

Naombeni Ushauri kuhusu hii interview

Mcqueenen

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
7,261
Reaction score
12,620
Wasalaam wakuu.
Mimi niko dar
Kuna kampuni ipo Mwanza niliomba Kazi online...
Wakanipa mitihani migumu na technical, nkafanya,,nkafaulu.
Sasa baadaye(jumatano iliyopita) executive director mwenyewe akanicheki email akaniambia thank you for your answers..akaniuliza kama ntakuwa tayari Kwa interview Juma3 tar 26
Nikakubali
Ila nilipojibu ile email kuconfirm hajanijibu mpaka leo.
Alhamisi Nikamtumia Tena email kumuuliza interview itafanyikia wapi hajajibu.
Jana ijumaa nkampigia akapokea(Ni mzungu) nkamuelezea Kila kitu akasema okay ntakutumia details kuhusu location ya interview through email.
Lakini mpaka Sasa Hajatuma.
Interview Juma3
Najiuliza wazee nijitungue niende Tu iyo kesho Mwanza ili jumatatu niwaibukie ofisini au vipi?

Au Ni njia ya kupunguza watu wameitumia?
Nifanye Nini wakuu?
 
Usiende.
Hiyo taasisi ni inatambulika na email ni rasmi? Wengine huwa matapeli tu.
Sauti ya kizungu kuna watu wanaaigiza vizuri tu.
 
Kama interview ya kwanza ulifanya kwa email/simu bc tulia usubiri hy J3, ukisema uende Mwanza itaku-cost
 
Mkuu Mimi Sio boya...nmeshaitwa interview Za matapel kibao sijaenda.
Hawa jamaa nimewafanyia research ya kutosha.
Wana official email,official website
Wana linked in pages.
Inshort Hawa Ni watu wa australia.nimewafatilia kuanzia vyuo waliposoma mpaka Activity zote wanazofanya bongo.
Kampuni nmelifuatilia mpaka products zake nkajifanya customer.

Sasa kampuni Ni la wazungu watatu. Huyu nlieongea naye Ni mmoja wa board of 3 directors
 
Isijekuwa trick kupunguza watu...inafika j3 wanakuambia njoo kwenye interview saa7 mchana hapa nyegezi
 
Sio mbaya kampuni la basi wakapata pesa yako go and return, hv Nauli kwenda na kurudi ni Tsh ngapi.?
 
Mkuu Mimi Sio boya...nmeshaitwa interview Za matapel kibao sijaenda.
Hawa jamaa nimewafanyia research ya kutosha.
Wana official email,official website
Wana linked in pages.
Inshort Hawa Ni watu wa australia.nimewafatilia kuanzia vyuo waliposoma mpaka Activity zote wanazofanya bongo.
Kampuni nmelifuatilia mpaka products zake nkajifanya customer.

Sasa kampuni Ni la wazungu watatu. Huyu nlieongea naye Ni mmoja wa board of 3 directors
Dogo unaleta ujuaji sana!!
Oooh mimi sio boyaaa..
Ok fanya unavyoweza.
 
Wasalaam wakuu.
Mimi niko dar
Kuna kampuni ipo Mwanza niliomba Kazi online...
Wakanipa mitihani migumu na technical, nkafanya,,nkafaulu.
Sasa baadaye(jumatano iliyopita) executive director mwenyewe akanicheki email akaniambia thank you for your answers..akaniuliza kama ntakuwa tayari Kwa interview Juma3 tar 26
Nikakubali
Ila nilipojibu ile email kuconfirm hajanijibu mpaka leo.
Alhamisi Nikamtumia Tena email kumuuliza interview itafanyikia wapi hajajibu.
Jana ijumaa nkampigia akapokea(Ni mzungu) nkamuelezea Kila kitu akasema okay ntakutumia details kuhusu location ya interview through email.
Lakini mpaka Sasa Hajatuma.
Interview Juma3
Najiuliza wazee nijitungue niende Tu iyo kesho Mwanza ili jumatatu niwaibukie ofisini au vipi?

Au Ni njia ya kupunguza watu wameitumia?
Nifanye Nini wakuu?
Umecheki kwenye Spam folder hakuna e mail yao?
Au wanapanga interview iwe online nini kwa zoom and the like?
 
Nimecheki mkuu..hakuna
Halafu interview walisema Ni in person
Kinachonshangaza nlpompigia kaniambia we will notify you the location details through email ila Hajatuma Sasa...au kutingwa Kazi?
 
Back
Top Bottom