E emmanicotz New Member Joined Sep 23, 2024 Posts 2 Reaction score 2 Sep 23, 2024 #1 Ndugu zangu naomba kujua kwa wale wanaona fanya biashara ya stationary, naipenda sana lakini watu wengi wanasema hailipi ni biashara ya msimu tu. Je nitawezaje kufaidika na hiyo biashara maana ndio nitakayoitegemea kwa ajili kuendesha ya familia na mambo mengine. Naombeni ushauri maana nina milioni 4 kama mtaji. Soma: Biashara ya Stationery: Ushauri, Vifaa, Gharama na Mbinu za Uendeshaji
Ndugu zangu naomba kujua kwa wale wanaona fanya biashara ya stationary, naipenda sana lakini watu wengi wanasema hailipi ni biashara ya msimu tu. Je nitawezaje kufaidika na hiyo biashara maana ndio nitakayoitegemea kwa ajili kuendesha ya familia na mambo mengine. Naombeni ushauri maana nina milioni 4 kama mtaji. Soma: Biashara ya Stationery: Ushauri, Vifaa, Gharama na Mbinu za Uendeshaji
FUTURE HUNTER JF-Expert Member Joined Apr 30, 2018 Posts 2,112 Reaction score 2,822 Sep 23, 2024 #2 Swala la kwanza ni location? Unalenga nini haswa copy,printing au uuzaji wa stationeries,ukijua hapo hakikisha location yako inaendana na unacholenga. Pia usikae kinyonge weka miamala ya simu,friji ya vinywaji nk.
Swala la kwanza ni location? Unalenga nini haswa copy,printing au uuzaji wa stationeries,ukijua hapo hakikisha location yako inaendana na unacholenga. Pia usikae kinyonge weka miamala ya simu,friji ya vinywaji nk.
E emmanicotz New Member Joined Sep 23, 2024 Posts 2 Reaction score 2 Sep 24, 2024 Thread starter #3 Asante sana ndugu yangu
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 78,625 Reaction score 171,643 Dec 19, 2024 #4 emmanicotz said: Ndugu zangu naomba kujua kwa wale wanaona fanya biashara ya stationary, naipenda sana lakini watu wengi wanasema hailipi ni biashara ya msimu tu. Je nitawezaje kufaidika na hiyo biashara maana ndio nitakayoitegemea kwa ajili kuendesha ya familia na mambo mengine. Naombeni ushauri maana nina milioni 4 kama mtaji. Soma: Biashara ya Stationery: Ushauri, Vifaa, Gharama na Mbinu za Uendeshaji Click to expand... Tafuta location nzuri, ikiwa karibu na shule itapendeza
emmanicotz said: Ndugu zangu naomba kujua kwa wale wanaona fanya biashara ya stationary, naipenda sana lakini watu wengi wanasema hailipi ni biashara ya msimu tu. Je nitawezaje kufaidika na hiyo biashara maana ndio nitakayoitegemea kwa ajili kuendesha ya familia na mambo mengine. Naombeni ushauri maana nina milioni 4 kama mtaji. Soma: Biashara ya Stationery: Ushauri, Vifaa, Gharama na Mbinu za Uendeshaji Click to expand... Tafuta location nzuri, ikiwa karibu na shule itapendeza
stephenga Senior Member Joined Sep 15, 2022 Posts 147 Reaction score 315 Feb 3, 2025 #5 Evelyn Salt said: Tafuta location nzuri, ikiwa karibu na shule itapendeza Click to expand... Kwa nini karibu na shule?
Evelyn Salt said: Tafuta location nzuri, ikiwa karibu na shule itapendeza Click to expand... Kwa nini karibu na shule?
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 78,625 Reaction score 171,643 Feb 3, 2025 #6 stephenga said: Kwa nini karibu na shule? Click to expand... Shule inachangamsha stationery