ningependa kujua ukweli kuhusu hii kozi kama ni ngumu na vipi upatikanaji wake wa kazi natanguliza shukrani
piga shule kijana Mwenyezi Mungu ni mwaminifu daima na uwe na tumaini la kupata ajira kama tu utaisoma kwa juhudi zako zote ili kile kilichokusudiwa kwenye kozi hiyo utoke hapo ukiwa unakijua kwa ukamilifu wake na si bra.bla !!
hiyo ni kama mechical engineering ila majoring kwenye uhandisi wa magari(ainia zote) na mapikipiki ..kozi nzuri sana maana una fursa pia za logistics and transport..
na mie nimechagua bachelor of
science hortculture sua kwenye
second round selction lakini
sifahamu hii course ipoje na ajira
zake naomba kwa anayefahamu
anijibu please
Usijari kijana mie nipo hapo NIT naingia mwaka wa 3 sasa hapo!!!Mi ni mmoja wa victims wa second round application na nimechagua automobile eng ya NIT kozi hii ni miaka 4, na mkopo ina priority ningependa kujua ukweli kuhusu hii kozi kama ni ngumu na vipi upatikanaji wake wa kazi natanguliza shukrani
daah???
Usijari kijana mie nipo hapo NIT naingia mwaka wa 3 sasa hapo!!!
Ni koz nzuri kwasababu magari mengi ya sasa yanahama kutoka mechanical mpaka computerlized kwahyo gereji bubu zinatoweka taratibu kwahyo inafanya kuanzishwa kwa sekta rasmi kabisa katika eneo hili.
kwahyo kuhusu ajira sio lazima uajiliwe hapa kaka kwasababu U can alwayz build Ur name from the ground Up.
Koz hiiinahitaji sanaa utendaji zaidi ya polojo za kisiasa unapewaa tatizo rekebishaa huwezi mteja anakimbiaa iko hvyo.
Karibu Auto-Nit kaka.
hiyo utapata kazi kwenye makampuni makubwa kama vile samsung,autorec,volskwagen etc, kapige kaka!Nashukuru kwa kunfahamisha hilo ngoja nikakomae
Mi ni mmoja wa victims wa second round application na nimechagua automobile eng ya NIT kozi hii ni miaka 4, na mkopo ina priority ningependa kujua ukweli kuhusu hii kozi kama ni ngumu na vipi upatikanaji wake wa kazi natanguliza shukrani
hiyo utapata kazi kwenye makampuni makubwa kama vile samsung,autorec,volskwagen etc, kapige kaka!
mbona unanitisha nishauri kama unaijua?
mbona unanitisha nishauri kama unaijua?