prince alen
Member
- May 29, 2012
- 29
- 6
Jamani wana MMU naombeni ushauri kuna bi dada mi nimempenda kwelikweli mwanzo alikuwa rafiki tu baada ya mapenzi kunizidia nikaamua kumwambia cha ajabu hakukubari wala kukataa ila akanambia eti kwa sasa hayupo tayari kuwa ktka mahusiano yeyote...nilifadhaika sana nikaacha hata kuwasiliana nae baadae akaanza yeye kunitafuta then nikaanzisha tena vilivojikita moyoni mwangu muda huu akakubari lakin cha kushangaza hataki nifanye vitu vifuatavyo...,kumkiss,kumkumbatia,kwenda kujitambulisha kwao (maana umri unaruhusu mi niilitaka kusonga hatua nyingine),na pia hataki marafiki zake na zetu wajue....nikajua labda kwa sababu hatujafanya lile tendo takatifu...so nikafanya utaratibu tuhondomole yeah! we did it ingawa ushirikiano haukuwa mzuri nikasema ah kwa kuwa ni first time.....ajabu baada ya hapo ndo kazidisha mapozi sasa hata kuonana ni kwa kubembelezana nilipomuomba turudie tendo lile ndo inakuwa ugomvi sababu yake kuwa yeye huwa hapendi tu kitendo hicho...JAMANI NAOMBENI USHAURI MAANA NATAKA AWE WANGU WA MAISHA JE ANANIPENDA KWELI HUYU