naan ngik-kundie
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 1,750
- 2,438
Hiyo ni tabia mbaya "Baba hapendi"
Yaani mm sijui nimelogwa kwa kupenda wake za wa2, yaani naona ni watamu kuliko hata mke wangu, nachanganyikiwa kabisa ninapovuta hisia kuwa naiba mke wa mtu, daaah. M1 siku moja akaniambia "mm nakupenda kwa vile unanikunja vizr sio kama mume wangu ananifanya kwa huruma..."! Nikamwonea huruma mumewe...!!!