sezari alfred
Member
- Mar 6, 2016
- 59
- 10
Na skuhz kuna ktu inaitwa 'alkasus'unabakije nyumbani ww wa kiume
kapige kazi au kaa kijiwen unywe kahawa/tangawizi
We unataka kufanyaje?
Kwani unapanga kufanyaje ?Wanaume kweli tunakazi aisee. Yaani hivi karibuni mimi na mke wangu tumepata mfanyakazi wa ndani mpya kutoka Iringa lakini imekuwa ni majaribu kwangu mwanzo mwisho pale wife anapotoka nyumbani na mimi kubaki nyumbani.
Kasichana haka kabichi kabisa kana mitego kwa mikao mbalimbali ya ajabu ajabu, mara kajifanye kudeki huku kana khanga moko sometimes napatwa na muhemko nafikiria kukatafuna ila naionea huruma ndoa yangu changa.
Wife akirudi nyumbani kanakuwa kapole kanavaa vizuri kabisa utadhani kashamba.
Naombeni ushauri jamani, nifanyaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni kutoka iringa basi mkuu ushashikwa. Yaani hiyo zone sijui ina laana gani? Wachache sana wwnaofanya kazi za ndani wakarudi salama bila mimba. Asopoliwa na Baba mwenye nyumba basi ataliwa na mlinzi au watoto au ndugu za bosi wake. Yaani wanapenda chini sijawahi ona. Ukiwaangalia sasa ni wapolee hata huwezi kudhani.Wanaume kweli tunakazi aisee. Yaani hivi karibuni mimi na mke wangu tumepata mfanyakazi wa ndani mpya kutoka Iringa lakini imekuwa ni majaribu kwangu mwanzo mwisho pale wife anapotoka nyumbani na mimi kubaki nyumbani.
Kasichana haka kabichi kabisa kana mitego kwa mikao mbalimbali ya ajabu ajabu, mara kajifanye kudeki huku kana khanga moko sometimes napatwa na muhemko nafikiria kukatafuna ila naionea huruma ndoa yangu changa.
Wife akirudi nyumbani kanakuwa kapole kanavaa vizuri kabisa utadhani kashamba.
Naombeni ushauri jamani, nifanyaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume kweli tunakazi aisee. Yaani hivi karibuni mimi na mke wangu tumepata mfanyakazi wa ndani mpya kutoka Iringa lakini imekuwa ni majaribu kwangu mwanzo mwisho pale wife anapotoka nyumbani na mimi kubaki nyumbani.