Cocoabutter
New Member
- Aug 27, 2018
- 3
- 1
Habar wapendwa.
Mimi nilikuwa na mwanaume ambae nilizaa nae mtoto mmoja ilifika muda tukazinguana nikamwambia naomba tuachane tulee mtoto katika swala zima la amani na si mapenzi tena alikubali tuwe hivyo
Lakin kinachonishangaza toka nimwambie hayo maneno ya kuachana sijawahi kupata mwanaume mwingine kuwa nae kwenye mahusiano wala kunitongoza na ni mwaka sasa umepita wasi wasi wangu labda kuna kitu alinifanyia au ni nini?
Naomben ushauri wenu.
Asante sana.
Sent using Jamii Forums mobile app