Naombeni ushauri aisee

Bonobo

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2017
Posts
364
Reaction score
672
Kuna bint nliwahi kumpenda mnoo...nimemfukuzia kwa kipind kirefu bila mafanikio... kila nikimtongoza anakataa lakin akawa haachi kunitafuta kwenye simu.

Katika kipind chote hko ilikuwa inaonyesha hana mtu, lkn alipofika chuo mwaka wa mwsho akawa ananionyesha wazi waz kuwa ana jamaa yake na akataka tusiwe tunawasiliana, mi nikakaza moyo nikampotezea.

Alipomaliza chuo akapata kaz moja nzurii tuu, akawa anaposti picha zake kwenye mitandao ya kijamii akiwa anakula bata na vijana, baada ya kama miaka mitatu kupita.. akaanza tabia ya kunitafuta kwenye sim na kunisalimia salimia... mi nikawa namjibu lakin kwa kifupi mno.

Juzi kati kanitafuta halafu akawa anaonyesha anataman sana tukutane tukae tupige story kama marafiki, akaulizia ulizia kuhusu ratiba yangu.. ilimradi tuu tuweze kukutana, kutokana na ratiba zangu j3 jion ntakutana na huyo bint.

Kuna baadhi ya maswali najiuliza sipati majibu, hivi kimemkuta nin had anataka tukutane? Maana hta nikiangalia kipato.. ye ana kipato cha juu kuliko mimi, Na baada ya kukutana nae nionyeshe sina interest nae kabisaa au nifanyeje?
 
Huo ndo wakati muafaka wa kumpotezea sasa.mwache aendelee kujibaragusa we kimyaaaa kama umuoni vile.

Usijiumize wala kujisumbua mkuu.yeye si alikuletea pozi!ni zamu yake sasa.

Ukijiuliza ulikuwa unaishije miaka yote hiyo bila yeye utamlia ngumu.kila lakheri boss
 
Nashukuru sana chief
 
Wee nenda kapewe HIV
Wacha kusumbuka ukidhan
Anakuitia mazur

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
watu wenye visasi ni watu dhaifu
chukulia kama first meeting
hujui anakuitia nini labda anakupa dili
usimuhukumu mtu kwa past yake wengine zetu hatuwezi kuziongelea ni za aibu au kusikitisha
 
Huyo anakutaka sio bure mkuu...kuna kitu kimempata labda kutendwa au kuna vitu havimpendezi kutoka kwa jamaa yake ndio maana anataka aje akutane na wewe umfariji..

NB: KUWA MAKINI SANA...BAKI NA MSIMAMO WAKO, KAMA ALISHAKUKATAA BASI ASIJE AKAKWAMBIA ANATAKA MAHUSIANO MAPYA NA WEWE
 
mfanye tu hakuna kuremba wewe kuwa on one point to kwake sex then usionyeshe dalili yoyote ya kumpenda kwa kuwa anakuletea makombo baada ya kutendwa huko which is not fair at all kwako..
 
kamsikilize, kama atakua na shida, angalia namna gani utayoweza msaidia. kama hiyo shida yake ipo nje ya uwezo wako mwambie kuwa huwezi kwa ukarimu. ule utoto wa visasi achana nao, alikukataa kwa sababu ambayo huijui. usimhukumu. maybe alikua anakukataa kwa sababu yeye ni HIV+ hivyo hakutaka kukuharibia future yako, ama aliona atakuja kukuumiza tu baadae ndio maana akaona bora akukatae. treat her well. she was once your friend.
 
we jamaa ni kipanga...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bonobo
Inaonyesha alikupenda sana, na alitamani ukaze buti ili akufungukie lkn ukaogopa vikwazo...kutokana na mazingira alipata mwingine na huenda walimtenda ndio maana alianza kubadilisha aone kama atapata furaha kwingine..lakini amegundua mume aliyempenda ni wewe ndio maana amejirudisha.
 
Pole sana...
Kipindi ana kataa alikuoa huna cha kumpa...
Hakuna kilichomkuta, anataka akuonje na wewe pia...

Follow your heart and carry your brain with you..


cc: mahondaw
 
MWANAUME KWA DEM ,NI KAMA MFUOA KWA FISI........
 
Hii hali ni sawa sawa na kuangalia movie ya titanic na kujipa matumaini kuwa ile meli haitozama tena. Jinsi alivyokuacha mara ya kwanza, atakuacha hivyo hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…