Nataka kununua smartphone ambayo haina usumbufu kama ninaopata ktk iphone 3g( hii haisapoti whatsapp wala fb).
Nataka kununua cm ambayo itasapot mitandao common ya kijamii( fb,twitter,jf,whatsapp etc) ila isiwe apple ambayo kila software unayotaka kudownload wao wanataka pesa tena US$ mara upgrade to ...... Ktk research yangu nikaona sony erricson X10,samsung s2( i9100) na lg optimus, blackberry torch kutokana na budget yang inavoruhusu lakini kuna mshkaj akaniambia baadhi ya cm izi kuna nyingine kwenye internet bundles zake ni gharama
mf. Blackberry. Bila elf 7 hupat kifurushi. Je hizi za lg na samsung nazo ni hivyohivyo hata kama kuna mbadala wa aina ya cm ninayotaka kununua.