Naombeni updates za HESLB Batch 2023/2024

GERRY12

Member
Joined
Mar 6, 2023
Posts
51
Reaction score
36
Habarini viongozi dhima ya huu uzi ni kutaka kupata update ya batch ya pili kwa wale wenzangu wa wait for allocation process.
 
Habarini viongozi dhima ya huu uzi ni kutaka kupata update ya batch ya pili kwa wale wenzangu wa wait for allocation process
Mna haha unaweza ukadhani hizo pesa ni za bure kumbe ndo zitakua chanzo endelevu cha umasikini wenu mkiwa waajiliwa. Kama unaweza bora upate kiasi au ujilipie mwenyewe mfumo na muundo wa utawala wa tanzania hausaidie mzazi masikini
 
hebu acheni watu bana.
Mtu angekuwa na uwezo wa kujilipia angehaha?
 
Sawa mkuu nimetoa tu tahadhari sio kwamba wasikopshwe, ila wajue unakopeshea wasoma kozi gani????? Wasije wakawa kama hawa wanao tafutwa mtaani kwa kushindwa kulejesha mkopo na ajira hawana, kwasbb ya kusoma kozo irrelevant katika soko la ajira ni vizuri kua concious katika kutumia hiyo pesa sio donation, ujua madhara yake ya badaye. Inaweza ikakutesa maisha yako yote ya ujana kuilipa na riba yake juu.
 
Huna la kuongea ww acha wenye akili. Waongee
 
IMG-20231027-WA0070.jpg
 
Hongereni kwa kazi wenzangu, ninaomba msaada namba ya simu ya Loan board ambayo hasa inapatikana Watsapp, kama haiko watsapp basi ninaomba yoyote ile
 
Back
Top Bottom