Nimeota nipo kwenye mfano wa jengo linalofanana na shimo,Katika ndoto inaonesha watu hawaishi lakini watu wanapita wengi kama kivuko cha kuelekea upande mwingine,sasa mm nimejikuta nimo humo na watu kama 6 .wote wamevuka Ila Mimi nimeshindwa kabisa kuvuka Kila nikikanyaga natereza hatimae nikawa nimechoka .Katika ndoto anatokea MTU ninaefahamiana nae lakini sijui ni fundi WA Hilo jengo au laaa lakin sina kumbukumbu alipotokea ingawa tunafahamiana nae, Kanionesha sehemu ya kuvukia Yan ukweri ni kaukuta kafupi nikavuka kiulaini kaniambia twende mnadani ameitwa na rafiki yake tukale nyama ,ghafra nikashtuka .hizi ndoto za namna hii naziota mara Kwa mara na nyingine nililwahi Kuota, Kuna joka jeusi limejizungusha kuanzia miguun mpaka kichwani alafu kichwa cha joka Hilo linanitazama usoni ,naombeni mnieleweshe