Michael_03
Member
- Feb 18, 2016
- 19
- 21
Mbona umejieleza kinyonge sana Mkuu. Utavamiwa na kupewa maneno ya kufedhehesha tu na wajuaji wa humuHabari zenu ndugu zanguu
Naitwa Michael Godfrey Kutoka Transpark Solution Marketing agency. Taaluma yetu ni kusaidia biashara yako kupata wateja zaidi kupitia promesheni, branding, na digital marketing.
Tunaweza kukusaidia kuongeza mauzo.
Naweza kukuelezea jinsi tunavyofanya kazi kama hutojali nipigie au nitafute whatsapp kwenye namba +255769469274
Naomba kama ukipata muda nikupe maelezo au tukutane .
Ofisi zetu zipo karibu na jengo la Ubungo Plaza , Dar es salaam.
Ahsante sana kwa muda wako.
Nimemwambia yupo kinyonge sanaKama ww mwenywe kutangaza biashara yako ni shida hiyo biashara ya mteja itakuaje?
Kwakwel ni shida tupuNimemwambia yupo kinyonge sana