Naombeni picha!

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,312
Wakuu jambo?
naombeni yeyote aniwekee picha kwenye uzi wangu huu
maana mi ni member siku nyingi ila sijawahi kupost picha japo napenda sana sana picha.
pia nasikitika kumiss dadangu
bujibuji
 
Bujibuji ni female! kha!
Kuhusu pics ngoja nikuitie Tyta
 
Last edited by a moderator:
Wakuu jambo?
naombeni yeyote aniwekee picha kwenye uzi wangu huu
maana mi ni member siku nyingi ila sijawahi kupost picha japo napenda sana sana picha.
pia nasikitika kumiss dadangu
bujibuji
Bujibuji mmmh
 
Attachments

  • 1400005541344.jpg
    16.3 KB · Views: 192
Last edited by a moderator:
Chukua hiyo
 
Attachments

  • i_funny_crazy_kids_500bf9f508c85.jpg
    44.6 KB · Views: 179
...ngoja niende studio kwanza...
 
Hapa naona umefanikiwa kupata picha za kutosha kama bado sema na mimi nitupie yangu
 
mkuu. Nyani weka yako maana naona hawa jamaa wameweka za wanawake na vitoto.
mbona bujibuji simuone?
 
Last edited by a moderator:
Wakuu jambo?
naombeni yeyote aniwekee picha kwenye uzi wangu huu
maana mi ni member siku nyingi ila sijawahi kupost picha japo napenda sana sana picha.
pia nasikitika kumiss dadangu
bujibuji

Haya. Kazi kwako
 
Attachments

  • 1400009080427.jpg
    18.8 KB · Views: 122
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…