naomba kuendelea kuelezea shida ninayoipata baada ya kuondoka.nimekuwa nikimuwazia sana kila siku na kutaman kurudiana nae ila sijui nianzie wapi,niliwai kukutana nae mara moja tu tena kanisani sikupana nafasi ya kuongea nae na sikujamuona tena.na watu wananiambia wanakutanaga nae.picha alioiacha inaniumiza sana,nikikumbuka jinsi tulivyoanza maisha kwa shida natokwa na machozi,,nikijitahidi kumsahau siwezi na kuna nyimbo tulizokuwa tunaziangalia sana na ninazipenda sana na kuna dada mmoja muimbaji amefanana nae sana yaani nina mkumbuka sana,na maneno aliokua ananiambia jinsi alivokua ananipa moyo juu ya maisha ninaumia sana.ushauri wenu hapa nifanyeje ndugu zangu,nampenda sana.lakini chanzo ni hitilafu za ndugu zangu na baba yake. kwao hawakunipenda na hata kwetu hawakumpenda,lakini alinipa moyo na ndio tukakaa miaka hio 3 na furaha isio ya kifani na mfukoni hata mia sina.lakin ndio alishawishika akatumia kigezo cha ndugu zangu hawakumpenda ndio akaondoka. nipeni mawazo wandugu nifanyeje?
heri na baraka ziwe
nanyi. ushauri, mawazo,michango yenu itanisaidia sana. ni bint
alienipenda sana nakumbuka alivyoniambia kwavile alivyonipenda hakuwa
tayari kuniona mi natangulia kufa bora aanze yeye.kwa jinsi
tulivyopendana haielezeki,ilianza hivi, baada ya migogoro kwao alitakiwa
arudi kijiji akaniomba nimfutia kazi,kuangaika huku na huku
akapata,shida ikazidi kwao kwani alikua anakaa na mama wa kambo na baba
yake hana kauli.akaniomba tena nimtafutie pakukaa,nikahangaika tena
akapata,nako shida tena ikawa kubwa,akaniomba nimpangie chumba.kwavile
nilivyompenda nikaamua tukakae wote kwangu na mi ndio nilianza maisha si
muda.taarifa zikafika kwa baba yake alipinga sana lakin akatoa mashart
yaliokua yananigarim ela nying mno,nikajpa moyo nitafanikisha,bint ninae
ndan matazizo yakawa yanapishana bint ni kuumwa tu,miaka ikaenda mpaka
wa 3,sikufanikisha,mpaka binti mwenyewe akaamua kuniacha kwa kudanganywa
na vijana wajanja wakati mi na mpena,mwaka ss tangu aniache,ninateseka
sana,ushauri wenu jamani.
Sikilizia moyo wako binti,unajua umuhimu na udhaifu wake kuliko sisi