Naombeni niwashirikishe mnishauri


that's very true!!!
 
ilkuwaje uyo rafiki yako akupe pachuchu?...
 
Huyu nesi usimpotezee si ajabu ndio mke mtarajiwa huyu, kama unampenda muonyeshe kwamba unampenda. Warembo wa leo si rahisi kukupenda katika kipindi ambacho huna kazi baadhi wangekupotezea tu. Ongeza juhudi za kutafuta ajira.
 
shirikisha ubongo usije chezea shilingi katika choo cha mabanzi
 
Mshika mawili moja humponyoka.

Tuliza sana kichwa kwenye kufanya maamuzi kwa wote wawili vinginevyo inaweza kukuletea matatizo hapo baadae baada ya kufanya maamuzi ya haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…