Naombeni msaada

Naombeni msaada

Muoe tu bhana, kwani wakati mnaanza hadi umlipofikia maamuz ya kuoa kuna kingine umeona kikubwa zaidi ya umri???? kama ukubwa ni miaka tu. muoe
 
Mimi ni kijana wa miaka 24 ila kuna msichana nimekutana nae sasa ni mwaka na miezi kadhaa imepita mapenzi yetu ni mazuri.

Yeye ana miaka 29 na pia ni mkatoliki mimi ni mpentekoste nataka nimuoe na yeye pia anataka nimuoe vipi hapo inakuaje wadau nahofia kumpeleka kwa mama kwa hizo tofauti za umri na dini.

Kinachotakiwa ni upendo na heshima,dunia ya sasa hatuangalii wazazi/ndugu wana mtazamo gani,tunaangalia MOYO umependa?
 
Kinachotakiwa ni upendo na heshima,dunia ya sasa hatuangalii wazazi/ndugu wana mtazamo gani,tunaangalia MOYO umependa?

Asante sana UPENDO NA HESHIMA upo,ila wazazi na ndugu ni shida
 
dogo pambana na maisha kwanza...kula ujana mkuu,,,,kuoa mapema ni moja ya chanzo cha michepuko.....una 24, then ukifika 35 mwenzio ana 40,,,, ujue damu bado moto hapo,,, stress za kila aina utakuwa ushaziona....bado mtoto wewe, kama kipato iko poa wekeza kwanza......jijenge imarika kiakili....mwambie asubiri akizingua asepe.....ila uamuzi ni wako,,,pentekoste/katoliki yote ni ukristo wacha uzuzu mbwiga wewe...

Hiyo tamu eheeeeeh🙂
 
Mimi ni kijana wa miaka 24 ila kuna msichana nimekutana nae sasa ni mwaka na miezi kadhaa imepita mapenzi yetu ni mazuri.

Yeye ana miaka 29 na pia ni mkatoliki mimi ni mpentekoste nataka nimuoe na yeye pia anataka nimuoe vipi hapo inakuaje wadau nahofia kumpeleka kwa mama kwa hizo tofauti za umri na dini.

Lakini hapo mbona inaonesha kuwa yeye ndio ana kuoa?
 
Ndo ugonjwa wangu huo napenda xana mwanamke anizidi umri angalau 5 yrs
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom