Naombeni msaada

Naombeni msaada

bukoba boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Posts
5,374
Reaction score
3,972
Mimi ni kijana wa miaka 24 ila kuna msichana nimekutana nae sasa ni mwaka na miezi kadhaa imepita mapenzi yetu ni mazuri.

Yeye ana miaka 29 na pia ni mkatoliki mimi ni mpentekoste nataka nimuoe na yeye pia anataka nimuoe vipi hapo inakuaje wadau nahofia kumpeleka kwa mama kwa hizo tofauti za umri na dini.
 
Mimi ni kijana wa miaka 24 ila kuna msichana nimekutana nae sasa ni mwaka na miezi kadhaa imepita mapenzi yetu ni mazuri,yeye anamiaka 29 na pia ni mkatoliki mm ni mpentekoste nataka nimuoe na yeye pia anataka nimuoe vp hapo inakuaje wadau nahofia kumpeleka kwa mama kwa hizo tofauti za umri na dini.

Masaburi, Sengeeeeee
 
Acha ufara wew tafuta mwingne mwenye umri kati ya 18-21 huyo ndiyo anafaa wew unataka kuoa dada yako? Hujui huyo ni sawa na dada yako?
 
Kua kwanza

Ukishakuwa mkubwa utampeleka
 
Acha ufara wew tafuta mwingne mwenye umri kati ya 18-21 huyo ndiyo anafaa wew unataka kuoa dada yako? Hujui huyo ni sawa na dada yako?

Kuomba ushauri kumbe ni kazi nziito.
 
dogo pambana na maisha kwanza...kula ujana mkuu,,,,kuoa mapema ni moja ya chanzo cha michepuko.....una 24, then ukifika 35 mwenzio ana 40,,,, ujue damu bado moto hapo,,, stress za kila aina utakuwa ushaziona....bado mtoto wewe, kama kipato iko poa wekeza kwanza......jijenge imarika kiakili....mwambie asubiri akizingua asepe.....ila uamuzi ni wako,,,pentekoste/katoliki yote ni ukristo wacha uzuzu mbwiga wewe...
 
tafuta mwanamke wa umri kati ya 18 na sio zaidi ya 22 atakufaa.. mwachi huyo bibi aende..
 
Mapenzi hayaangalii umri, cheo, kazi, kipato. Kama kweli mmependana huna haja ya kumwogopa mtu we oa aise
 
Huyu nae ni think tank kwenye familia yao!? Kazi kwelikweli!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom