Ndg kwanza salamu.
Niliinstall program ya Folderlock kwenye PC yangu. Sasa katika kujaribu kulock nikalock program baada ya muda kila kitu kwenye PC kikawa shortcut had folderlock yenyewe.
Kila nikifungua hata movie tu naambiwa "The item referred to by this shortcut cannot be accessed. You my not have the appropriate permissions.
Naomben mnishaur cha kufanya
bonya "start" kisha bonya "Control Panel" kisha bonya "programs" kisha itafute hiyo program ya lock folders katika list utaiona,hapo utaibonya right click kisha UNINSTALL
inavoonekana hiyo pc yako ina akaunt mbili moja ya kawaida nyingine inajiongoza kama ADMINISTRATOR,
sasa bas bonya kwa pamoja ALT na F4 kisha chagua LOG OFF ikimaliza utaziona hizo akaunti chagua yenye administrator kisha log in urudie zile hatua
bonya "start" kisha bonya "Control Panel" kisha bonya "programs" kisha itafute hiyo program ya lock folders katika list utaiona,hapo utaibonya right click kisha UNINSTALL