Kompyuta yangu Dell D620.
Nilii Factory reset .Ilipofika 20% ikiisntall windows updates Chaji ikakata na kuzimika.Nilipoiwasha inaonyesha IKO 64% .inawaka na kujizima kwa kuendelea.
Sasa Nimeshindwa la kufanya.Kwa kuwa mambo ya kompyuta ni kiingereza usihisi vibaya kutoa mchango wako kwa Kiswahili Au Kiingereza.Thanks in Advance