Naombeni msaada wenu wana jf

Bab rumbo

New Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
3
Reaction score
1
Habari zenu wadau wa jf. Naombeni msaada wenu kwa yeyote anayefahamu sehemu ambayo naweza kupata mashine ya sugar centrifugal/ PEWA. Mashine hii inatenganisha sukari na molasses. Naombene msaada kwa yyte mwenye uwelewa juu ya hili
 
sugar & molasses, mmmh! ngoja wazee wa kemia waje!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…